Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
hahaha kwa nini umuhamishe wakati huu. Au ndo tuseme ila zawadi ya kikuku cha mguu wa kushoto ndo imemlainisha akalegeza msimamo!
Halafu Mtei ee, nimeona huku watu wanasema marejesho ana nanii...(naogopa kusema atanigonga kwenzi) na eti wanasema naniii(jina lake linaanza na herufi ya mswaki) ndo kamshibisha, sasa we unamtoroshea kgali ili?
Mimi na marejesho hatukukutana barabarani. Hzo nyngne ni changamoto za kmaisha tu ambazo kwangu sio kikwazo.
Last edited by a moderator: