Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Last edited by a moderator:
pole sana mpendwa...sio wewe tu, kuna wengine wengi tu walikutwa na maswahiba kama ya kwako...usijali maana bado unaweza kutana na marafiki wa JF hata siku za weekends during daytime...

We acha tu watu8, roho iliniuma sana, lakini ndiyo hivyo siruhusiwi kutoka bila ruksa yake, sijui huu mfumo utaisha lini nasi tuwe tunatoa order kwa wanaume.Loh!!!
 
sikia Voice of Wisdom. Maisha ni zaid ya tunavyoish. Itabd leo tukutane ili tumalize hlo sakata.. Rutta hana tatizo

yaani mtei unataka kunibadilisha msimamo wangu aisee! Haki ya nani mi sikubali kabisa kirahisi hvyo kama dada poa. Jeska tafadhali leta picha inayoonyesha tukio zima, kabla bibie marejesho hajakamilisha taratibu za kukimbia tanzania.
 
hapana sio hivyo. Mambo mengine ni madogo sana kinadharia. Suala langu na Mrembo marejesho ni suala ambalo limeanzia mbali sana, limetumia gharama nyng sana. Mpango wa yeye kuhamia Kigali unakamilika.. Rutta ameshanyamaza.
 
hahaha kwa nini umuhamishe wakati huu. Au ndo tuseme ila zawadi ya kikuku cha mguu wa kushoto ndo imemlainisha akalegeza msimamo!
Halafu Mtei ee, nimeona huku watu wanasema marejesho ana nanii...(naogopa kusema atanigonga kwenzi) na eti wanasema naniii(jina lake linaanza na herufi ya mswaki) ndo kamshibisha, sasa we unamtoroshea kgali ili?
 
Last edited by a moderator:
embu kwenda zako huko!!! Unamtishia mke wangu wakati unajua ni mjamzito!? Au unataka tupate mtoto pre-mature!?

Shaurilo Filipo! Sikushtui tena yale maswala ya mulika mwizi meen! Na hiyo mimba ya nani unajua Nimtaje.?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom