Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Jeska duh mi naleta kibano humu kitakachombana ndo huyo aliondoka nacho
 
Last edited by a moderator:
Naomba unitumie akaunti number yako.

hahaha, wenye hekima wanaoishauri mahakama wamepata pa kuanzia. Ruta, jaji mkuu wa cchc(chitchat high court) tafadhali nukuu maneno ya mtuhumiwa.
Dpp wa cchc tafadhali kamilisha jalada la mtuhumiwa tayari kwa ajili ya kusimamishwa mbele ya jaji mkuu wa cchc
 
fcheni siri
 
Loh . . . Donn na we utasutwa!!!! Nataka aje anijibu mwenyewe!

opps... Unajua mi napendaga tu kuona mwandiko wako wa mcharazo... Kila nikiona post yako lazima niidandie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom