Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Kikuku he nani atachinja sasa, sie hatuli mkichinja nyie hicho kikuku.. Aku..!
 
Sasa shem nani ange husika kwenye hili sakata? Pasinge kalika maana ingekuwa rahisi kumjua mtuhumiwa!
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahaha
acha kikuku kiitwe kikuku
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo
 
Last edited by a moderator:
07.JPG

Asprin si ni wewe hapo ulikuwa unacheza na Madame B?

nani kakuambia hizi picha uzilete huku?. mia
 
Last edited by a moderator:
Si ulikuwa umekaa karibu na figganigga na Thanda? Kwani umewauliza wamesemaje? Mzee wa mia na rafiki yako hebu rudisheni kibata cha mtoto wa watu!
msiri wangu mwaJ walau ulikuwa makini cha kwako uliondoka nacho intact...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom