Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

haha haha....naona unataka kunichafua ili Paloma aje kwako.....
Hahahha samahani kijana wangu. Ila ile tabia yako ya kupiga chabo ushaiacha?? Kama tayari nikufanyie mpango kwa amu

528555_315247641878196_1998471866_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahha samahani kijana wangu. Ila ile tabia yako ya kupiga chabo ushaiacha?? Kama tayari nikufanyie mpango kwa amu

528555_315247641878196_1998471866_n.jpg





umesahau tabia ya ukaguzi umeanza tangu vidudu?......usiniambie hiyo picha umesahau ulipigwa lini....
 
MGUU.JPG


Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.

Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.

Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL




cha mguuni au cha kiunoni?
 
Jeska habari za kikuku wala sielewi.... Ila huo mguu ndo habari ya mjini
 
Last edited by a moderator:
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo
 
Last edited by a moderator:
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo

Bdo kpo kile kile nlchokiona siku ile au ulinunua kingine?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimetamani mguu tu yan mpaka moyo umefanya paaaa.....!!!!
Kwa guu hilo nadhani kila idara itakuwa imekamilika.
 
Kuna Changudoa nimemuona nacho, sijui ndo chenyewe, AU NDO WEWE TUMEKUTANA Jeska
 
Last edited by a moderator:
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katoro

si unaona sasa!?..iweje leo niulizwe? we mkabe Thanda coz ndo nliona mnakumbatiana mbele za watu. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom