CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
nadhani wanifananisha na Jiwe Linaloishi....mie muda wote nimecheza na marejesho....
mh! Jiwe Linaloishi? Hapana hajachukua aisee
huyo Jiwe Linaloishi alikuwa anacheza na chupa ya Kotensa mkononi na akili wala haikuwapo eneo la tukio LOLnadhani wanifananisha na Jiwe Linaloishi....mie muda wote nimecheza na marejesho....
Hehehehe.... Paloma akinizengua ntaendelea kujichuna mwenyeqwe kwa amu.Paloma kalala hapa kidogo apaliwe alivyoona comment yako......
Hivi nani alikuambia nlikuwa kwenye party yenu? Mi nlikuwa N'twara kwenye kampeni ya Gesi Kwanza, Kilimo Kwanza Kitajiju Bagamoyo.Now i know kikuku chako kitakuwa kiko kwa marejesho alipewa na Vin Diesel ambaye alikuwa anamtakrima kwa hasira za kukimbiwa na lara 1 . Nakushauri fungua kesi ya madai na uongee vizuri na loya Ruttashobolwa ili ushinde.. ukitaka shahid yupo Asprin nilimuona kakaa kimya pembeni akitazama kila kitu kilichokuwa kinaendelea..kwa ushahid wa picha onana na watu8
Now i know kikuku chako kitakuwa kiko kwa marejesho alipewa na Vin Diesel ambaye alikuwa anamtakrima kwa hasira za kukimbiwa na lara 1 . Nakushauri fungua kesi ya madai na uongee vizuri na loya Ruttashobolwa ili ushinde.. ukitaka shahid yupo Asprin nilimuona kakaa kimya pembeni akitazama kila kitu kilichokuwa kinaendelea..kwa ushahid wa picha onana na watu8
huyo Jiwe Linaloishi alikuwa anacheza na chupa ya Kotensa mkononi na akili wala haikuwapo enep la tukio LOL
Watu ninaowakumbuka kuwa jirani na mimi ni Vin Diesel, kipaji halisi, Thando, yule mpogoro wa Mazimbu anayejiita Mzulu, figganigga, @halafu kuna mkaka alikuja na mgeni rasmi simjui avatar yake
Ukweli sasa utajulikana na kila kitu kitakuwa peupe hivi pungeNow i know kikuku chako kitakuwa kiko kwa marejesho alipewa na Vin Diesel ambaye alikuwa anamtakrima kwa hasira za kukimbiwa na lara 1 . Nakushauri fungua kesi ya madai na uongee vizuri na loya Ruttashobolwa ili ushinde.. ukitaka shahid yupo Asprin nilimuona kakaa kimya pembeni akitazama kila kitu kilichokuwa kinaendelea..kwa ushahid wa picha onana na watu8
Hehehehe Paloma alikuwa na kazi ngumu ya kuukabili ubakaji wa Vin Diesel. Huyu kijana zikimshuka hajali cha mnadi swala wala nani sijui...Hahahahahahahahahahahahaha
Paloma alikuwa pale..................................
Boss acha kikuku kiitwe kikuku bhna!
Hehehehe Paloma alikuwa na kazi ngumu ya kuukabili ubakaji wa Vin Diesel. Huyu kijana zikimshuka hajali cha mnadi swala wala nani sijui...
![]()
Kama si ulinzi shirikishi wa watu8, hivi leo Paloma angekuwa mjamzito
![]()