Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Naamini Zion Daughter anaweza kumjua mtuhumiwa, hebu mwiteni aje pande hizi basi
 
Last edited by a moderator:
Asprin ulikuwepo na nilikuona unafakamia nini vile, naniliu, ile Kotensa
Utakuwa umenifananisha mtu wangu. Hiyo siku wala sikuwepo Dar.
Hahahahahahahahahahaha
babu Asprin hivi kwanini:........................................
Wananipakazia ndugu yangu. Umri huu niache kucheza na wajukuu nije kukaa na vijana jamani jamani jamani??
 
Hahahahahahahahahah
alaf babu hivi ulinaniliuuu......................

Utakuwa umenifananisha mtu wangu. Hiyo siku wala sikuwepo Dar.
Wananipakazia ndugu yangu. Umri huu niache kucheza na wajukuu nije kukaa na vijana jamani jamani jamani??
 
MGUU.JPG
Dah, watu wana miguu!!
Yaani huu mguu tu mi hoi!!
Sura na umbo sijaangalia, mi mguu tu jaman.
Kwanza kwa huu mguu, natumai hata na sura itakua inalipa tu!!
 
Back
Top Bottom