Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

mimi nina kipaji cha ubunifu katika teknolojia,nina diploma kadhaa,na bachelor moja,napata shida sana katika kutafuta watu wakuniundia infrastructure za mawao yangu nimeamua nikasome mwenyewe,sifikirii kuajiriwa ,tayari ni mjasiriamali ninayeanza kukua
 
Ni chaguo zuri, kila la heri!

Kama shida yako ni electronics unaweza somea degree ya electronics ya miaka 3 ipo udsm.. au kama unapenda ya engineering ipo udsm na dit
 
kumbe Computer Science sio mchezo
naomba kuuliza mashirika hasa ya serikali pamoja na binafsi ambayo ni potential sana kufanya field za Computer science kwa mwanafunzi
 
Hapa nakubaliana na wewe , soma mechatronics lakini usiendelee kuishi huu ulimwengu wa tatu utakua disappointed saana.
 
Hivi serikali inatoaga ajira za maArchitect kweli??
 
Kozi IT ukiwa vizuri kichwani hata usipoajiriwa ni rahisi kujiajiri. Ila lazima uwe vizuri. Sio umemaliza IT au CS au SE alafu huwezi kuunda hata software ya komputa.
kumbe Computer Science sio mchezo
naomba kuuliza mashirika hasa ya serikali pamoja na binafsi ambayo ni potential sana kufanya field za Computer science kwa mwanafunzi
 
Kaka Umeongea uhalisia sana yaan wengine toka tumalize engineer diploma atuna hata pakujichomeka mkuu ata sielew niombe mkopo nirudi bachelor au niendelee kukaza kitaa dah
 
Kaka Umeongea uhalisia sana yaan wengine toka tumalize engineer diploma atuna hata pakujichomeka mkuu ata sielew niombe mkopo nirudi bachelor au niendelee kukaza kitaa dah
We jamaa umeshindwa hata kufungua kijiwe cha ufundi bicycle na simu na tv
 
We jamaa usipotezwe na hao wajiriwa wa serikali Wanao kushauri hapo juu. Katika ulimwengu huu wa kujipambania hakihakisha unajua vitu vingivingi kadri ya uwezo. Mm kuhusu mechanical sikushauli Kwa Sababu watu ni wengi kwenye hiyo kozi na pia kwenye kujiajiri na kuajiri hio mechanical Ina watu hata walio jifunzia mitaani ukiingia Kwa makampuni ya wachina wanajiri mafundi Kwa matokeo sio vyeti. Hafu bongo hii hamna mainjinia Bali kuna mafundi so ukisoma mechatronics unaweza kua na uwanja mpana wa kujiajiri kwenye fani tatu Kwa mpigo achana na wajiriwa wa serikali huko hakuna Hela mtaani ndio kuna Hela na Ili upate hela uwe mpana kimaarifa.
 
Tanzania bado kuna uwaba sana wa mafundi wa magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…