kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
- Thread starter
-
- #21
Huwa nakuwa kawaida ila napata maumivu makali chini ya kitovu baada ya siku mbili maumivu huishaEbu ukishamaliza vpimo nami ntakupa njia na utafanikiwa.kwani wakati wa hedhi unajickiaje
Hapana mkuu sina uzoefu katika mzunguko huo..Sorry.Habari kiongozi, aksante kwa ufafanuzi mzuri,
Je kwa mama mwenye mzunguko wa siku therethini (30) inakwendaje?
Kuna mada humu tena ni stick inahusu siku za kupata mimba kwa kuzingatia mizunguko yote yaani 22,28 na 35 kama skosei ajaribu kuutafutaHaina mbaya watakuja wataalamu wengine katika hili kuchambua mama mwenye mzunguko wa siku 30
plz allow me me to PM youKwani samahani usinielewe vibaya.huwa unaanza siku gani MP na una miaka mingapi
ngoja na mim niitafute mkuuKuna mada humu tena ni stick inahusu siku za kupata mimba kwa kuzingatia mizunguko yote yaani 22,28 na 35 kama skosei ajaribu kuutafuta
thanks mkuu kwa ushauriPole sana haya mambo yanachanganya sana akili waone madaktari bingwa
Daktari Bingwa...0713 493 189Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Asante mkuu, nitakuchekiDaktari Bingwa...0713 493 189
asante mkuuPole sana Dada.
Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
Thanks very much my dear need your prayers more coz problem is my sister inlaw,Pole my dear usikate tamaa Mungu ndo anatupa watoto huenda zamu yako bado upon kwenye foleni utakapofika utapata.na huenda Mungu anakupitisha hapa ili ujifunze kitu maishani mwako!zaidi nakuombea twende na DM kwa ajili ya ushauri zaidi.nakuonea Imani Mungu atakupa tu!
Relax. Mungu ni mwema!Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.