Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Ebu ukishamaliza vpimo nami ntakupa njia na utafanikiwa.kwani wakati wa hedhi unajickiaje
Huwa nakuwa kawaida ila napata maumivu makali chini ya kitovu baada ya siku mbili maumivu huisha
 
Haina mbaya watakuja wataalamu wengine katika hili kuchambua mama mwenye mzunguko wa siku 30
 
Haina mbaya watakuja wataalamu wengine katika hili kuchambua mama mwenye mzunguko wa siku 30
Kuna mada humu tena ni stick inahusu siku za kupata mimba kwa kuzingatia mizunguko yote yaani 22,28 na 35 kama skosei ajaribu kuutafuta
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Daktari Bingwa...0713 493 189
 
mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
 
Nina mtu genuine sana anaweza kukusaidia ukafanikiwa, hahitaji malipo, ila ukifanikiwa ndipo utaamua mwenyewe kama kumpa asante au la haina shida, ukiona inafaa ni-PM
 
Pole my dear usikate tamaa Mungu ndo anatupa watoto huenda zamu yako bado upon kwenye foleni utakapofika utapata.na huenda Mungu anakupitisha hapa ili ujifunze kitu maishani mwako!zaidi nakuombea twende na DM kwa ajili ya ushauri zaidi.nakuonea Imani Mungu atakupa tu!
 
mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.
 
Pole my dear usikate tamaa Mungu ndo anatupa watoto huenda zamu yako bado upon kwenye foleni utakapofika utapata.na huenda Mungu anakupitisha hapa ili ujifunze kitu maishani mwako!zaidi nakuombea twende na DM kwa ajili ya ushauri zaidi.nakuonea Imani Mungu atakupa tu!
Thanks very much my dear need your prayers more coz problem is my sister inlaw,
 
Back
Top Bottom