Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.
usikate tamaa mtoto ni majaliwa alafu mungu alivyo wa ajabu akianza atawashusha balaa
 
plz mkuu nieleweshe zaidi
Hakuna jipya kwa suala la hormones kutobalance........hata akina Mwaka ndio gia yao ya kila siku!

Haya muhimu kuyafanya:

1. Kuweka tumaini kwa Mungu
2. Hospitali zote kubwa kubwa kuona kama kuna tatizo kwenye mfumo wa kizazi
3. Dawa za mitishamba

Full stop.
 
asante mkuu
 
mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
Angalia unaweza ikawa umesaidiwa kupata mtoto we unasema mipango ya mungu
 
nikionaga mada kama hizi huwa namcheka sana shetani. Nilikaa na mke wangu kwa miaka miwili bila mimba na vipimo vyote tulifanya kairuki pale mpaka cha mirija yuko ok lakini mimba hakina. Tukaanza maombi mi na wife tukagundua kumbe ni mapepo tu baada ya kukemea yakatoka mwezi huo huo mimba na amejifungua mtoto wa kiume.
Amini usiamini kama mkifanya vipimo vikaonyesha mko ok basi geukieni upande wa pili wa maombi mtatoka tu
 
Amina mkuu, tunaamini hivyo kama Sarah alipata mtoto akiwa mzee na sisi tutapata in Jesus name.
 
Ni kweli kwa mungu hakuna lisilowezekana hapa jirani yangu kuna MTU na mkewe hajapata mtoto miaka kama sita hivi wote wako OK vipimo viko sawa kwa wore. Kumbe tatizo ni kafungwa mwanamke kutoka kwao hayo yamejulikana baada ya kupata maombi mapepo yamesema live uzuri kwa mungu hakuna cha mapepo tangu kapata maombi hayo na kutoka huu ni mwezi 5 Huyu mama kashika mimba anaendelea vema anategemea mtoto Dec kwa mungu hakuna lisilo wezekana ww ni kuamini tu yeye anatenda. Sasa kule kwao nao wamepata aibu maana kila kitu kiko wazi na kwa lile walilotenda shida alikuwa shangazi MTU maana walikuwa na ugovi na mama yake Huyu Dada aliwahi kumwambia tuone kama mwanao atapata kitu yule mama hakuelewa neno lile Leo ndio anajuwa . Ila mungu kafanya na mambo yanaendelea vema . jifunze kwa hili jitizame amua Fanya maamuzi hayo hakika mungu yupo
 
pole sana hayo mambo kawaida sana.inawezekana mume wako ana LOW SPERM COUNT jitaid apime hyo kitu

kingine ni kuomba mungu tu.hakuna litakalo shindikana kwake
 
Mimi nilikaa miaka mitatu na ushee ndo nikafanikiwa. Mrs wangu sasa ni preg karibia mwezi wa tatu sasa. Ni hivi dada yangu, ovulation peak ya wanawake wengi hukaa masaa nane maximum. Hutokea mostly mchana. So kawaida yetu wanandoa hukutana usiku. Hivyo hujikuta ovulation peak imeshapita. Ninashuhudia hili kwasababu mimi ndicho kilichonifanikisha. Jaribu kufuatilia ushauri huu utaniambia. Pili mumeo anatakiwa kukaa muda kidogo bila kukitana naye sexually. At least mwezi. Aamke asubuhi aoge maji ya baridi kabisa yaani yasiwe yamechemshwa hata kidogo. Mazoezi asisahau na pia ale natural foods. Pia psychologically msipanie sana. Unipm kama hujaelewa. Beat of Luck.
 
Nashukuru mkuu pia mniweke kwenye maombi mimi nina imani nitapata mtoto ila Mr. na ndugu zake ndo hawana subira siyo siri naona ndoa chungu mkuu.
Usikate tamaa muombe mungu achelewi Wala awai atakujibu tu mamy usione ndoa chungu kuna majukumu mengi tu ndani ya ndoa out Na mtoto yafanye kwa ukamilifu uku ukimwomba mungu hitaji la moyo wako.
 
Back
Top Bottom