topr
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 700
- 654
Kabisa maana me Na Mama angu Mdogo miaka 15 kwenye ndoa ana mtoto Wala mimba mwaka Huuu si akapata bwana yaani mwezi wakumi tungekuwa twachinja ngombe Ila baati mbaya mimba ya miezi6 ikatoka kumbe alikuwa Na mapacha 4 yaani wakiume 3 wakike 1 ila tumemshukuru mungu Na kumuomba ampe tena Na twaamini mwakani muda Kama huu tutaimba nyimbo za sifa Na vitoto mikononiusikate tamaa mtoto ni majaliwa alafu mungu alivyo wa ajabu akianza atawashusha balaa