MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
wadada wa .com ukiwaambia kuna dawa katika masuala haya na mengine huwa hawaelewi ila yakiwakuta kama haya wanakuwa wapole. Mwambie afanye huma hima anywe mzizi apate mimbaMama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie
poa mkuuMama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie
sasa mkuu ndo unipe maufundi nimpekee jinsi ya kufunga hilo goli bila kusahau aina ya mazoezi anayotakiwa kufanyaMr atakuwa anatoa "mbegu hoho" yaani anategewa kwenye siku za hatari huku refarii akiwa anaaangalia saa yake mkononi lakini wapi hafungi mpira unapaaa juu ya mtambaa panya mithiri ya buleti la Joseph Kaniki!
Hapo naona kinachohitajika ni kitu kidogo tu nacho ni kunywa mzizi (kitaalam tunaita "NENGO") hakika ndani ya muda mfupi stori zitakuwa ni za kwenda clinic bila kujali tatozo ni la mke au mme. Mnapatikana mkoa gani nyie?sasa mkuu ndo unipe maufundi nimpekee jinsi ya kufunga hilo goli bila kusahau aina ya mazoezi anayotakiwa kufanya
tupo dar mkuuHapo naona kinachohitajika ni kitu kidogo tu nacho ni kunywa mzizi (kitaalam tunaita "NENGO") hakika ndani ya muda mfupi stori zitakuwa ni za kwenda clinic bila kujali tatozo ni la mke au mme. Mnapatikana mkoa gani nyie?
Aiseee, umekuwa kushoto kidogo na bahati mbaya ukanda wa pwani hauna miti husika!tupo dar mkuu
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Mr atakuwa anatoa "mbegu hoho" yaani anategewa kwenye siku za hatari huku refarii akiwa anaaangalia saa yake mkononi lakini wapi hafungi mpira unapaaa juu ya mtambaa panya mithiri ya buleti la Joseph Kaniki!
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
kabisa Mungu ndo final say.Nakuunga mkono kwa ushuhuda huo unafanana na wangu bt me nilikaa 2.5 years.mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
hahahahah kabisa mkuu mimi sikuwahi hata kuwaza kwenda hospital na nilikaa muda kama wako na nusu hivi nilikomaa tu na maombi kama vile hakuna kitu kinanihusu siku ya siku hali ya hewa ilbadilika na leo nashuhudia.nikionaga mada kama hizi huwa namcheka sana shetani. Nilikaa na mke wangu kwa miaka miwili bila mimba na vipimo vyote tulifanya kairuki pale mpaka cha mirija yuko ok lakini mimba hakina. Tukaanza maombi mi na wife tukagundua kumbe ni mapepo tu baada ya kukemea yakatoka mwezi huo huo mimba na amejifungua mtoto wa kiume.
Amini usiamini kama mkifanya vipimo vikaonyesha mko ok basi geukieni upande wa pili wa maombi mtatoka tu
Jee tiba ya hio low sperm acount ni IPI ya 100%samahani nimechelewa kuuona huu uzi, ila kwa sababu mimi nimepitia hii shida nimeona nikupe ushauri kidogo. Kwa maelezo yako kuwa unapata hedhi ni uthibitisho kuwa mayai unayo. Aliyetakiwa kupima wa kwanza ni Mwanaume. Kipimo cha mwanaume ni rahisi sana tena hakichukui muda umrefu, mwambie mmeo akapime sperm count (Uwingi wa mbegu kwenye manii yake) kama zitakutwa ok basi ndio waje kucheki mirija yako kama haijaziba kwa x-ray. nakuhakikishia hivyo vipimo viwili vikifanyika mwezi unaofuata unashika mimba. nimefanya mimi mwenyewe na kuwashauri jamaa zangu wawili nao wakapata mimba mwezi unaofuata. Tatizo naloliona ni kuwa wanaume wengi wabishi kwenda kupima, wanafikiri kwa kuwa wanatoa manii basi hawana shida, kiuhalisia hata ukiwauliza wataalamu wa afya ya uzazi, saa hizi tatizo la low sperm count ni kubwa sana hata wenyewe hawajui kwa nini ni kubwa hivi. Uzuri wake lina tiba ya asilimia 100.
Hiodawa ni dawa gani aliopewa inayouzwa 15000?Nendeni wote Hospital, kuna jamaa yangu alikaa 9 years bila mtoto anajiona kidume, nikamshauri twende naye na mimi nitapima maana alikuwa Anaona Aibu akakutwa na shida. Alipewa dawa ya 15,000 na sasa ana watoto 4
Mh mbegu za mlonge zinaharish kinyama sasa atatumiaje?mkuu usijali ipo siku yako na wewe utabarikiwa. tumia mbegu za mlonge na majani yake yanasaidia sana katika matatizo ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke ukizikosa ulipo ni pm. pia tumia asali mbichi, mdalasini na kitunguu saumu na tangawizi kwa maelezo zaidi ni pm maelezo ni bureee kabisaaa
Huyo mama anatoa tiba kwa kina mama au na kina baba,? Maana tatizo wote wako poa. Na mm nazihitaj Namba za huyo mama mweny dawaMama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie