Hiodawa ni dawa gani aliopewa inayouzwa 15000?
unaposema asitegemee msaada humu una maanish hakuna wenye ufaham hapa jf au?na kama asitegemee msaada humu ww unafany nn humu?usitegemee kupata msaada humu jf nenda kwanza hospitali dada ikishindikana ndo uje huku,pole sana
Ndio hvyo watu atufanan.mi huwa nkienda mshindo mmoja tu lazima anaseHabari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.