Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

nakuombea kwa mungu utafanikiwa tena watoto mapacha...ameen
 
nakuombea kwa mungu utafanikiwa tena watoto mapacha...ameen
 
Hiodawa ni dawa gani aliopewa inayouzwa 15000?

Wewe na mke/mme wako nendeni Hospitalin (wote muangaliwe) then watawashauri, usitake kujua jina la hii dawa then utumie bila kuangaliwa halafu isiwasaidie lakini kumbe mngepimwa mngepewa dawa sahihi kabisa. Ni vyema kupima na kushauriwa, nendeni Hospital inayoeleweka bila kuona aibu.
 
usitegemee kupata msaada humu jf nenda kwanza hospitali dada ikishindikana ndo uje huku,pole sana
unaposema asitegemee msaada humu una maanish hakuna wenye ufaham hapa jf au?na kama asitegemee msaada humu ww unafany nn humu?
 
Nendeni Hospital mupimwe unaweza kusafishwa kizaz ukazaa pole sana na mshukuru Mumeo mpaka sasa muko pamoja angekuwa mwingine hapo angeshakuacha c unajua maneno ya rafiki ma Wifi
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Ndio hvyo watu atufanan.mi huwa nkienda mshindo mmoja tu lazima anase
 
Back
Top Bottom