Nendeni tu Hospital kwa ushauri wa kitaalamu zaidiKijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Tatizo linaweza kuwa ni nini? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote.
Natanguliza shukrani.
Sababu zinaweza kua nyingi aende hospital apimwe magonjwa yotee...Dr am 4 real PhD kijana anataka usaidizi
Ok azingatie ushauri.......Sababu zinaweza kua nyingi aende hospital apimwe magonjwa yotee...
Pia naona jamaa afya yake sio nzurii amekonda SANAA.
Kiasi kwamba kwenye mabega ukiweka maji yanakaa tulikuaga tuna tanianaga zamani..
Ushauri wangu aende hospital apimwe magonjwa yotee
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara.
Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua.
Natanguliza shukrani.
View attachment 3194459