mkaskaz
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 606
- 865
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara.
Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua.
Natanguliza shukrani.