Msaada: Kijana wangu anaongea vitu havieleweki, atakuwa na tatizo gani?

Mwenye matatizo ya akili ni wewe. Hata mimi uje weekend uniulize kama nimeenda shule na unajua ni jpili, nitakujibu hovyo tu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sure thing, halafu kasema shuleni alikuwa wa moto wakati hajui hata kutofuatisha siku za weekend na siku za shule
 
 
Wastan sanaa sana mno

Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Kama ww shule ulikuwa wa moto basi yawezekana kachukua utahira wa mama yake
 
Tumia muda mwingi kumsikiliza na kumpongeza na kumfundisha yupo kwenye kile kipindi cha wenge
 
Pale unapomfanya Mtoto ni adui yako wa kudumu.
Wakati mwingi wazazi wanaona kupiga ndio option ya kumuweka sawa mtoto kumbe unamuumiza psychologically

Sasa ni lazima uache kabisa kumpiga na hata kumkaripia ili kupata trust kutoka kwake

Lazima muwe mnatoka nae na kutembea na kumuweka karibu Badala ya kutumia ubaba kama Ubabe.

Nenda nae safari kama holiday ya wiki, kuwa nae karibu kwani ni mwanao huyo

Kesho kuna umauti akukumbuke kwa mema yako la sivyo atafurahia kifo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…