cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Nimewaza hivyo pia.Kuwa makini nae upande wa bangi huenda anavuta mneli
Nimewaza hivyo pia.Kuwa makini nae upande wa bangi huenda anavuta mneli
Nimechekaa hatariii, 😂😂😂😂😂Channel haziko vyema hebu nenda kwa wataalamu... Vipi ukiwadodosa walimu wake na marafiki zake wanasemaje? Nauliza tu sababu hao ndio wanamjua kuliko wewe.
Ikitokea wanakwambia yuko sawa itabidi wewe ndio uwahi mirembe kuchekiwa
Pole kwa changamoto hii unayopitia. Mpeleke mtoto hospital ya karibu yenye wataalamu wa afya ya akili, Hawa watawasikiliza na kuwapa ushauri Bora wa Nini mfanye kuepukana na hili au kupunguza hiyo kadhia. Wataalmau Hawa wapo kuanzia hospitali za wilaya, mkoa na rufaa. Ni vituo vya afya(Health center) vichache vyenye wataalamu Hawa.Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
😂😂😂😂Wanasaikolojia labda upate bahati awe anajielewa watampa madawa akawa zezeta, labda nje ya nchi wapo vizuri, wangu darasa la tano tuliona anafanya mambo si ya umri wake mama yake akampeleka basi wakampa madawa mbona akawa ni kulala hadi darasani, tukatupa yale madawa sasa hivi yupo poa kumbe ni malezi tu hajajichanganya sana na utotoni nadhani pia hajawaitembea peku alipokuwa mtoto hadi ukubwani ndiyo anapenda mwenyewe sikuhizi yupo darasa la 6
Huyo ni Genius ndio mana humuelewiNina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
Ukute wana walimpa cha Malawi kimeenda kwa oblongata😁Mpeleke kwa wanasaikolojia.
Dah!!😁😁😁Mwenye matatizo ya akili ni wewe. Hata mimi uje weekend uniulize kama nimeenda shule na unajua ni jpili, nitakujibu hovyo tu..
Huyo anavuta msuba mkuu,na kupiga sana ni tatizo,huenda ana kipaji wewe unamskuma asikotakaNina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
Unapomuuliza swali lazima jibu lake litakuwa swali ili ujiulize swali wewe mwenyeweLabda lakin Genius lazima reason yake imeki sensi mkianza kudadavua
Hiyo kumchapachapa usikute imemletea shida mahaliWastan sanaa sana mno
Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Hata mimi nahisi hivo, huyo mtoto inaonesha anataka uhuru fulani ila wazazi ni kama wanamzongaDogo ana akili sana Kuna mambo yake ya mbele anafikiria alafu we unakaa kumuuliza uliza maswali..
Mpe order atekeleze usimuulize maswali
Kisa haeleweki kama viongozi wa CCM?Huyu anafaa kuja kugombea nafasi za juu za uongozi hapo mbeleni
Kwani post imeeditiwa? Si uisom..Ukiacha kubishana kwa kujifurahisha utaelewa
Acha basiiii 🤣Wastan sanaa sana mno
Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
🤣🤣🤣Huyu anafaa kuja kugombea nafasi za juu za uongozi hapo mbeleni
🤣🤣Kajiunga na CCM.maana ccm wanatumia sana watoto mwaka huu