1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
watoto hawapendi ukali,
Kila mzazi shuleni alikuwa wa motoWastan sanaa sana mno
Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Kwani Bange mnaichukiliaje ?, 🤔Wakati unazunguka kwa wataalamu wa afya ya akili, pia usisahau kumfuatilia kama anavuta bangi
Sio bangi hiyo?Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
Unatuingiza chaka mkuu CannabisHuyu anafaa kuja kugombea nafasi za juu za uongozi hapo mbeleni
Umesoma vizuri mkuu😁😁Mwenye matatizo ya akili ni wewe. Hata mimi uje weekend uniulize kama nimeenda shule na unajua ni jpili, nitakujibu hovyo tu..
Akikosa uzazi kesho utamlaumu naniMinya mbupu na koleo aseme ukweli atasema tu
Mama yake kiakili yukoje? Pole mkuu, mtoto anauma sana, nakushauri mature Dr Kweka Mtaalam wa masuala ya akili aweze kukusaidiaWastan sanaa sana mno
Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Na vipi kuhusu utendaji wake wa shughuli zingine zisizohusiana na shule? kuanzia zile za nyumbani na zaidi, anazifanya kwa usahihi?Wastan sanaa sana mno
Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Labda matatizo yanafanana??Huu Uzi wako mbona kama vile ni repeated Kuna mtu miaka miwili nyuma aliwai leta scenario kama Yako, au ndiyo copy and paste?
Kutafuta engagement
Labda ananena kwa lughaNina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.