Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Wakuu,wataalam,
nisaidieni hapa Nina anko wangu wa kike yuko form 4 na bado mpaka sasa anakojoa sana kitandani! Karibu kila siku tunatoa godoro nje.
Naomba ushauri na tiba,
wewe pilau ni daktari? Au ni mtaalamu wa namna gani? Hebu tushawishi kwamba huo ushauri wako ni sahihi na unafaa kufuatwa kwa tatizo kama hili..Ajaribu sana kuchelewa kulala alale kuanzia saa 4 usiku na .. inawalazimu mfanye utafiti huwa anajikojolea ifikapo saa ngapi... mkishafahamu muda wake wa kukojoa .....mwekeeni alarm na ipige mfululizo akishtuka aende kupunguza.. lakini hii pia inasababishwa na mawazo na ndoto.. pia jaribuni kumhamisha kutoka chumba anacholala kwa sasa alale chumba tofauti tofauti hata sebuleni
.Ajaribu sana kuchelewa kulala alale kuanzia saa 4 usiku na .. inawalazimu mfanye utafiti huwa anajikojolea ifikapo saa ngapi... mkishafahamu muda wake wa kukojoa .....mwekeeni alarm na ipige mfululizo akishtuka aende kupunguza.. lakini hii pia inasababishwa na mawazo na ndoto.. pia jaribuni kumhamisha kutoka chumba anacholala kwa sasa alale chumba tofauti tofauti hata sebuleni
ki ukweli na mimi nilikuwa
nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota
una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha
nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina
amini baadae ataacha tu.pole yake
ki ukweli na mimi nilikuwa nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina amini baadae ataacha tu.pole yake
ki ukweli na mimi nilikuwa nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina amini baadae ataacha tu.pole yake
Mkuu MziziMkavu,nashukuru kusikia ombi langu na kuja hapa.Mkuu.@Larusai Mux Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe ndani yake hilo kwato uweke kaa la moto alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
Chukua ndevu za mahindi za kutosha uzichemshe katika maji lita mbili kisha mpe anywe kidogo kidogo. Fanya hivyo kwa muda wa siku tano hadi saba inshaalah Mungu atamponya.
Mkuu.@Larusai Mux Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe ndani yake hilo kwato uweke kaa la moto alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah