Msaada:KIKOJOZI

Msaada:KIKOJOZI

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Wakuu,wataalam,
nisaidieni hapa Nina anko wangu wa kike yuko form 4 na bado mpaka sasa anakojoa sana kitandani! Karibu kila siku tunatoa godoro nje.
Naomba ushauri na tiba,
 
.Ajaribu sana kuchelewa kulala alale kuanzia saa 4 usiku na .. inawalazimu mfanye utafiti huwa anajikojolea ifikapo saa ngapi... mkishafahamu muda wake wa kukojoa .....mwekeeni alarm na ipige mfululizo akishtuka aende kupunguza.. lakini hii pia inasababishwa na mawazo na ndoto.. pia jaribuni kumhamisha kutoka chumba anacholala kwa sasa alale chumba tofauti tofauti hata sebuleni

wewe pilau ni daktari? Au ni mtaalamu wa namna gani? Hebu tushawishi kwamba huo ushauri wako ni sahihi na unafaa kufuatwa kwa tatizo kama hili.
 
Last edited by a moderator:

...........Jaribu kufanya kama nilivyotoa ushauri..
 
Huwa anachelewa kulala mkuu,na akiamshwa unakuta tayar kesha haribu ila tutajaribu,asante kwa ushauri mkuu
.Ajaribu sana kuchelewa kulala alale kuanzia saa 4 usiku na .. inawalazimu mfanye utafiti huwa anajikojolea ifikapo saa ngapi... mkishafahamu muda wake wa kukojoa .....mwekeeni alarm na ipige mfululizo akishtuka aende kupunguza.. lakini hii pia inasababishwa na mawazo na ndoto.. pia jaribuni kumhamisha kutoka chumba anacholala kwa sasa alale chumba tofauti tofauti hata sebuleni

ki ukweli na mimi nilikuwa nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina amini baadae ataacha tu.pole yake
 
ki ukweli na mimi nilikuwa
nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota
una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha
nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina
amini baadae ataacha tu.pole yake

kweli kabisa itakata yenyewe wala asihofu.
 
Mimi naamini tatizo lake linatibika. Muone urologist pale muhimbili atakusadia kumaliza tatizo hilo. Meanwhile: asinywe maji au kimiminika chochote masaa mawili kabla ya kwenda kulala, Acheki UTI, na laizma ahakikishe amejisaidia kabla ya kulalal.
 
Now tatizo hili hujulikana kama "enuresis" kwa kawaida kwenye bledder yani kibofu cha mkojo kuna shingo mbili moja huitwa internal sphnter and extenal sphnter. Sasa mkojo unapojaa kwenye kibofu internal sphnter hauwezi kuh isikia au kuiambrisha bt mwil wenyewe ndo unaweza ku control bt extenal sphnter mtu anaweza kui hisi na kui control yan kuruhusu mkojo kupita au laa hali hii ya kuhisi au ku control extenal sphnter husababishwa na "somantic never" katika kipindi cha utoto nevers hizi zinakuwa hazija kuwa ipasavyo na ubongo hauwezi kuzi control bt mtu akisha fikisha miaka 12 au wengine huwai anatakiwa aweana uwezo wa ku control hizo nevers inaposhindikana basi mtu anaendelea kujikojolea! Kabla ya dawa embu asinywe maji usiku na asichoke sana mchana ikishindikana the use "Desmopresin" ni dawa inayotumika kusimamisha hili tatizo bt inaitaji usimamizi wa dactari au nurs.
 
Chukua ndevu za mahindi za kutosha uzichemshe katika maji lita mbili kisha mpe anywe kidogo kidogo. Fanya hivyo kwa muda wa siku tano hadi saba inshaalah Mungu atamponya.
 
ki ukweli na mimi nilikuwa nikikojoa kitandani.jamani ni aibu,na nilikuwa sifanyi makusudi,unaota una mkojo na uko chooni,mara unaumwaga kitandani.baadae niliacha nilivyofika 14.hakuna dawa yoyote niliyotumia ilitokea tu nikaacha.nina amini baadae ataacha tu.pole yake

ni kweli mkuu ila kashapita 14,sasa yuko 17,18 hivi!,form 4 alafu ni binti! Tutakosa mahari!
 
Mkuu.@Larusai Mux Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe ndani yake hilo kwato uweke kaa la moto alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
Mkuu MziziMkavu,nashukuru kusikia ombi langu na kuja hapa.
Mtoto mwenye ni binti mkubwa, na je hilo kwato la ng'ombe anashika au ananusa? Na vp halitaisha kwa siku 7 au tunakua tunabadilisha?
Natanguliza shukran,
 
Last edited by a moderator:
Chukua ndevu za mahindi za kutosha uzichemshe katika maji lita mbili kisha mpe anywe kidogo kidogo. Fanya hivyo kwa muda wa siku tano hadi saba inshaalah Mungu atamponya.

Mkuu Negembo nashukuru kwa ushauri,ila ndevu za mahindi ni hadi msimu wake ufike,
 
Mkuu.@Larusai Mux Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe ndani yake hilo kwato uweke kaa la moto alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah

Mhhh!!!????
 
Back
Top Bottom