Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
- Thread starter
-
- #21
Hii hapana Nina uhakika nayo.hakuna jini yoyote anaweza kuYawezekana wewe ndio una nini mahaba hataki uoe.
Hizi ni zile story za kwene lile jarida la tabasamu ama
Huo Ni uhalisia kabisa ndugu hakuna uongo hapoHizi ni zile story za kwene lile jarida la tabasamu ama
mm sijihusishi na mambo ya dini mkuu wanguMsaada wako ni kusali sana kulingana na imani yako ndio ataondoka. Otherwise atendelea kukutumia
Hamna Bali ndio unakuwa na bahat Sana,pia nikitembea na mwanamke hawez kuniacha tena hate akiwa mke was mtu ila siku izi spend ngono zembe kabisaHalafu mnasema mwanaume akilala na mwanamke an
Mkushi si wanasemaga mkitumia vitu vyenu vya kikush hawasogei? By the way ww ulitii matakwa yao hao viumbe n wajanja Sana na sku ukimwona live utajutia utam uliokua unauskia n viumbe was ajabu sana
apata mikosi. Imagine mdada umetembea na huyu mtoa mada utaondoka na baraka kweli
Mm napenda Sana vitu vya kutishatisha mkuu Yani hiyo iko ndani ya damu iwe vitabu,hadithi mtandaoni,movies nk yaani siogop kbsaMkushi si wanasemaga mkitumia vitu vyenu vya kikush hawasogei? By the way ww ulitii matakwa yao hao viumbe n wajanja Sana na sku ukimwona live utajutia utam uliokua unauskia n viumbe was ajabu sana
Wewe ndo una matatizo kawaone wataalamHamna Bali ndio unakuwa na bahat Sana,pia nikitembea na mwanamke hawez kuniacha tena hate akiwa mke was mtu ila siku izi spend ngono zembe kabisa
Basi inabidi uanze kujihusisha, inawezekana hata wake zako wa mwanzo umeachana nao chanzo ni huyo jini japo inakua ni indirect wewe unaona mke kafanya makosa unamuacha.mm sijihusishi na mambo ya dini mkuu wangu
Huwezi toka na baraka, ndo maana mwanamke wa kwanza na wa pili waliondoka.Halafu mnasema mwanaume akilala na mwanamke anapata mikosi. Imagine mdada umetembea na huyu mtoa mada utaondoka na baraka kweli?
Halafu mnasema mwanaume akilala na mwanamke anapata mikosi. Imagine mdada umetembea na huyu mtoa mada utaondoka na baraka kweli
Sawa mkuu ingawa kusali sitoweza tena,ila ningejua ilikuwaje mpaka rafk yako akawa anamuona ktk umbo la binadam ningejua hiyo fomula iliyotumika ungekuwa umenisaidia moja wapo ktk maswali yangu.Basi inabidi uanze kujihusisha, inawezekana hata wake zako wa mwanzo umeachana nao chanzo ni huyo jini japo inakua ni indirect wewe unaona mke kafanya makosa unamuacha.
Kuna rafiki yangu iliwah mtokea same situation but yeye hakua anashiriki nae tendo, ila alikua anampigia simu kama hivyo na akimpigia anamtajia mambo ambayo ni kweli kayafanya kwa siku hyo, seems like alikua anajua movement zake zote na alikua anamfatilia hata hyo kuja nyumbani alikua anakuja na siku nyingine anakuja kwa umbo la binadamu.
Yalitokea mambo mengi sana hapo katikati ila badae alikuja kumwambia 'Una bahati unasali' na baada ya hapo yule jini hakumfatilia tena.
Kwa mtu ambaye hajawah experience anaweza hisi hiyo story yako ni ya kutunga but hayo mambo yapo, jitahidi usali tu mkuu.
Mi sijui lolote. Ni Mshana Jr pekee ndo ataweza kukupa majibuSawa mkuu ingawa kusali sitoweza tena,ila ningejua ilikuwaje mpaka rafk yako akawa anamuona ktk umbo la binadam ningejua hiyo fomula iliyotumika ungekuwa umenisaidia moja wapo ktk maswali yangu.
Hapana mkuu najua kuwa nipo na Nani wakat huo na Niko na afya njema ya kumridhisha mamaake mpaka akakata kiu yake bila Shaka Hilo haliwezekani maana dozi zinagaiwa sawasawa Kila mmoja na njaa yakeUkiendelea na ndoto zako za kumridhisha mkeo juu ya kivuli cha jini, watakukimbia wengi tu au walimwengu watakusaidia majukumu ...Ni ushauri tu
Hiyo siku mtu alikuja akagonga kwao, kumfungulia akaomba maji akampa mgeni akasepa. Then badae jioni akampigia simu akamwambia leo nilikuja kwenu ukanipa maji na akamuelezea mazungumzo yote waliyoongea. Ila sasa akawa hakumbuki tena sura ya yule mtu ilifananaje.Sawa mkuu ingawa kusali sitoweza tena,ila ningejua ilikuwaje mpaka rafk yako akawa anamuona ktk umbo la binadam ningejua hiyo fomula iliyotumika ungekuwa umenisaidia moja wapo ktk maswali yangu.
Hapo kwenye kusali ndipo ulipo haribu. Hakuna jini anaogopa ibadaBasi inabidi uanze kujihusisha, inawezekana hata wake zako wa mwanzo umeachana nao chanzo ni huyo jini japo inakua ni indirect wewe unaona mke kafanya makosa unamuacha.
Kuna rafiki yangu iliwah mtokea same situation but yeye hakua anashiriki nae tendo, ila alikua anampigia simu kama hivyo na akimpigia anamtajia mambo ambayo ni kweli kayafanya kwa siku hyo, seems like alikua anajua movement zake zote na alikua anamfatilia hata hyo kuja nyumbani alikua anakuja na siku nyingine anakuja kwa umbo la binadamu.
Yalitokea mambo mengi sana hapo katikati ila badae alikuja kumwambia 'Una bahati unasali' na baada ya hapo yule jini hakumfatilia tena.
Kwa mtu ambaye hajawah experience anaweza hisi hiyo story yako ni ya kutunga but hayo mambo yapo, jitahidi usali tu mkuu.
Imeandikwa wapiHapo kwenye kusali ndipo ulipo haribu. Hakuna jini anaogopa ibada
Mpaka uandikiwe ndio unaona ni sahihi? Ndio maana tunapigwa sana. Maana yake ni kuwa unaamini wewe huwezi kugundua kitu ukakiwasilisha kwa watu wengine[emoji23][emoji23][emoji23]Imeandikwa wapi
Mmh hii ni kesi mpya sana kwangu.. Kwakuwa kwenye scenery ya kwanza jini hawezi kufungwa na mchawi...Jini ni kiumbe kikubwa sana mbele ya mchawiNatumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni