Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

Kile kitendo cha kutii kutafuta mishumaa na kumuogesha dawa mke wa kwanza ndio kilikufungisha ndoa na huyo jini. Kifupi una ndoa na jini, na haijarishi utaoa nani, huyo jini ataharibu ndoa yako.

Salama yako ni moja tu, nenda kanisani (huko ndio wanaombea na kutoa majini) ukaombewe na ukajifunze maneno ya Mungu na kuyashika, huyo jini atasepa zake milele, baadaye ndio ujipange kuoa kidini.
 
Hii chai kavu,yani wewe nyota yako ni kuoa majini
Siyo kila usichokijua wewe ni uongo. Story ya huyu jamaa iko wazi tu, huyo Jini anaye yeye ila hisia zake zinampeleka kudhani kila mwanamke anayeoa anakuja na jini mpya wakati ni yuleyule.
 
Kmmmmk, yaani akakushika begani ukahisi Mkono Laini Umekugusa 🤣 🤣 🤣
 
Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.

Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.

Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.

Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.

Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.

Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.

Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan

Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa

Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.

Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha

MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.

MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.

Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?

-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi

-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?

Je naweza kumuendesha nitakavyo?

Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.

#Mshana na wengineo karibuni
Badili dini uanze kufuga majini ndipo utajuwa ukweli wake.
 
Hilo jini liko kichwani mwako.
Na mwisho wako ni mbaya.
Kifo kiko mlaangoni mwako kama hataondolewa huyo jini.
 
Mkushi mbishi Hilo DUDE unalo wewe na usitamani kuliona lipe muda tu .SIKU UKISHINDWA KULIKANDAMIZIA NDO UTALIJUA UHALISIA WAKE
 
Jini mahaba amekushika Kweli Kweli, kwa mujibu wa maelezo yako na wewe umezama mazima kwake, kama hutachukua hatua haraka ya msaada wa maombi tegemea kuharibikiwa mambo yako yotee! Kila la heri na mpz jini.
 
Yani mimi nilijua unataka aondoshwe kumbe wewe unataka umuone ili umkunje vizuri zaidi?
 
Tafuta kanisa la Waadventista wa sabato linaloabudu siku ya jumamosi nenda saa tatu asubuhi halafu muombe mchungaji akuombee akuweke huru zidi ya huyo jini mahaba, kama unataka kuwa huru fanya hivyo kesho asubuhi tafuta kanisa ukaombewe!!!
 
Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.

Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.

Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.

Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.

Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.

Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.

Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan

Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa

Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.

Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha

MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.

MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.

Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?

-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi

-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?

Je naweza kumuendesha nitakavyo?

Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.

#Mshana na wengineo karibuni
Anza kuuza kiti moto au fuga nguruwe
 
Huwajuwi hao viumbe umeingia kichwa kichwa...

Wewe hutokaa na mke yeyote na mbaya zaidi baadae utaanza kujisikia raha zinahamia upande wa pili...mgongoni.
!

Siongei sana ...ila ushoga wa ukubwani mbaya maana unakuwa na ulimbukeni...

Na hutakuja jivua hilo..labda atokee mtu mwengine akupiganie kitu ambacho si rahisi....wengi watahesabu kuwa
" ndio aina ya maisha uliyoyachagua"
 
Dah hiyo ni shida kubwa sana kama walivyoshauri wengi tatizo liko kwako mpaka ufahamu wako umeondolewa unataka mahusiano zaidi na huyo jini mahaba shetani hana urafiki na binadamu mwisho wake ni mbaya sana kwako ni kusimama ktk imani yako ni Mungu ndio anaeweza kukuepusha na viumbe hao waharibifu wa ulimwengu mwingine
 
Back
Top Bottom