Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

Unataka kupona hilo?mtafute mchungaji katunzi wa eagt city center nenda hapo kanisani tu hudhuria ibada utapona seriously nimeona wengi tu wakipona
Katunzi wa mbagala ?kwan mleta mada yupo dar au kigona
 
Naomba namba zake za tigo izo, natanguliza shukrani ndugu yangu 🙏🙏
 
Kama alianza kukupigia Simu kwa namba ya tigo niwazi alikua akimaanisha kwa mpalange
 
Makosa ulifanya mwenye utakubali vipi kutii jini na kufanya anavyotaka.

Siku uje kubebwa upotee kwenye ulimwengu wa mwili na nyamaa
 
Mkushi si wanasemaga mkitumia vitu vyenu vya kikush hawasogei? By the way ww ulitii matakwa yao hao viumbe n wajanja Sana na sku ukimwona live utajutia utam uliokua unauskia n viumbe was ajabu sana
Ni wa kutisha ama ni warembo ma beutifuly kinyama?
 
Hapana mkuu najua kuwa nipo na Nani wakat huo na Niko na afya njema ya kumridhisha mamaake mpaka akakata kiu yake bila Shaka Hilo haliwezekani maana dozi zinagaiwa sawasawa Kila mmoja na njaa yake
Sasa sababu gani ilifanya wake zako wafanye yaliyokushinda kuwavumilia kama siyo uzinzi?

Mwenyewe umekiri kwa maandishi kuwa ulikuwa ukiwapiga 'shoo' za kibabe lakini wakiamka wala wasikumbuke chochote na 'lust' zao kubakia vile vile kiwango cha lami?

Maana yake ni kwamba walikuwa wanaona umewatenga na hauwatimizii haki zao ndomaana wakawa wanakucheat na ulipogundua ukawalarua.

Sasa kwa nini uendelee kujiuliza nini kisababishi wakati jibu unalo na umeshalisema wazi!
 
Sasa sababu gani ilifanya wake zako wafanye yaliyokushinda kuwavumilia kama siyo uzinzi?

Mwenyewe umekiri kwa maandishi kuwa ulikuwa ukiwapiga 'shoo' za kibabe lakini wakiamka wala wasikumbuke chochote na 'lust' zao kubakia vile vile kiwango cha lami?...
nawashukuru wote mliochangia humu kweny uzi huu,nimepata mtu humuhumu ambaye Ni mtaalam nmemtembelea na amenisaidia kutimiza yote niliyokuwa nataka yawe

Idumu milele Jamii forums
 
Nilimgonga dem kapandisha majini.
Aivotaka kunizingua nikamtwanga makofi ,nikamwonya jini wake aache kuingilia utam wangu.
Nikala tena na majini yanaendelea kiongea.
Siku alipotaka nimkule tena nikakataa kwani sikuona raha kukuka kitu mtu anaongeaongea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa unakata mauno? Pole sana, hao viumbe wana jinsia mbili mkuu, inawezekana mnafanya kwa zamu, siku unagonga siku unag.... Na kama zamu yako bado jiandae
😄😄😄 kwa hyo ajiandae kama bado?.
 
Nilimgonga dem kapandisha majini.
Aivotaka kunizingua nikamtwanga makofi ,nikamwonya jini wake aache kuingilia utam wangu.
Nikala tena na majini yanaendelea kiongea.
Siku alipotaka nimkule tena nikakataa kwani sikuona raha kukuka kitu mtu anaongeaongea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom