Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

Mkuu unavuta bange? Halafu inaonekana unatamani sana kumgonga huyo jini live live!! Yani kiufupi hutaki kuachana nae,unataka uwe unapiga show live bila chenga!! Duuh! Anatoa na tigo nini? Hongera kwa kupiga show kali na Kiti ake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah?!
 
Huyo kiumbe hayumo kwa wanawake, yumo ndani (kichwani) mwako.
 
Ndugu poleni sana, unahitaji msaada wa haraka, kuna ulimwengu wa Roho na kuna ulimwengu wa mwili ambao ndo huu tunaishi, kinachofanyika kwenye ulimwengu wa Roho majini ya Baharini ambayo yanaongozwa na Malikia wa pwani ndiyo hujegeuza kuwa wasichana na kuja kwenye ndoto na kufanya mapenzi, na hawawezi kuja live maaana hawana uwezo wa kuja duniani live maana hawana mili ya duniani, na hawa mapepo ni halisi ni viumbe wa kutisha lengo lao ni kumfanyia kazi shetani na kuwapeleka wanadamu wengi motoni, hawa viumbe ni hatari sana na utakutana nao kwenye umbo lao halisi siku utakavyokufa na hapo utajuta na hautakuwa na mda wa kutengeneza
Hawa majini wa kike wakikupenda wanawatafuta watu wa kwenu ambao ni wachawi na wanapeleka mahari kwenu kupitia njia ya kichawi, kinachofanyika unafunga nayo ndoa kwenye ndoto au kwenye ulimwengu wa Roho, na huwezi kukaa na mwanamke yeyote ndugu na hata ukioa huwezi kukaa na mke!! Na kibaya zaidi ukifanya nao mapenzi zile sperm wanazichukua wanazipeleka kuzimu kwenye kuzifanyia uchawi wao, hutaishi mda mrefu nayo wakiishapata mtoto na wewe!! Tabua kazi kubwa ya viumbe hivyi ni kuchinja kuua na kuharibu, (Yohana 10:10), ndugu ipo njia ya kujinasua kutoka kwenye haya majini mahaba na njia ni nyepesi kabisa, naomba kama kweli umedhamiria kuachana na majini mahaba naomba nifuate inbox!! Nitakusaidia na wewe utawasaidia wengine, usione ni ufahari kufanya mapenzi na shetani, laiti ungemjua huyo kiumbe ndugu yangu, na ukiona unamwaga shahawa na ukiamua huzioni jua kifo chako kinakaribia, Roho yako ilishachafuliwa ndugu yangu unahitaji msaada wa Mungu, kumbuka Mungu aliumba wanadamu kwa wanadamu sio mwanadamu kwa majini!!
 
UkO kwnye ndoa ya kudumu na mdudu,tena wa kike.Ndio maana anafanya vimbwanga kila ajae asikae kwa kudumu na wewe.nina mashaka Wenda tatizo lilianzia kwa yule wa kwanza.
 
Sawa mkuu ingawa kusali sitoweza tena,ila ningejua ilikuwaje mpaka rafk yako akawa anamuona ktk umbo la binadam ningejua hiyo fomula iliyotumika ungekuwa umenisaidia moja wapo ktk maswali yangu.
wewe jamaa unaonekana kabisa huyu jini kashakuingia tayari maana sio rahisi mtu wa kawaida kumhitaji jini kiasi hiki
 
UkO kwnye ndoa ya kudumu na mdudu,tena wa kike.Ndio maana anafanya vimbwanga kila ajae asikae kwa kudumu na wewe.nina mashaka Wenda tatizo lilianzia kwa yule wa kwanza.
Wewe pekee ndio umeiona shida. Kama hadithi hii ni ya ni kweli jamaa basi aliuvaa mkenge pale kwenye mke WA Kwanza, mdudu akahamia kwake. Ameyatafuta mwenyewe aanzie hapo.
 
Duu bro we ndo mwenye shida tena nadhani hii shida uliikubali ulivyotii amti kwa mke wa kwanza ukayafanya hayo ya kumueka huru huyo jini. Mwombe Mungu sana akukinge na hizi shari za majini, pia fwata yale yote uliyoamrishwa kwa imani yako na kuacha uliyokatazwa

Ila kuna sehem nahisi hii shida haikusumbui. Unataka umuone live? Umgonge live?
 
Pole sana jini mkata kamba uyo au jini mahaba,kazi unayo utaishia kuoa nankuacha mpka atoke dadeki, sali sana nenda kwa mwamposa n.k atasababisha mengi tu
 
Nadhani ni vema atafute suluhu kulingana na imani yake na kama ni muislamu ajisogeze kwa viongozi wake wa dini
Na kama ni mkristu afanye hivyo pia ..sidhani kama kuna ulazima wa kukufata PM. au kama inawezekana mueleze tu hadharani nawengine utawasaidia pia labda.
 
jini nuksi uyo,angaika umtoe, hao wake zako wote uliowaacha ye ndio kachangia kaka angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…