Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Siyo kila usichokijua wewe ni uongo. Story ya huyu jamaa iko wazi tu, huyo Jini anaye yeye ila hisia zake zinampeleka kudhani kila mwanamke anayeoa anakuja na jini mpya wakati ni yuleyule.Hii chai kavu,yani wewe nyota yako ni kuoa majini
Badili dini uanze kufuga majini ndipo utajuwa ukweli wake.Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni
Jini mahaba amekushika Kweli Kweli, kwa mujibu wa maelezo yako na wewe umezama mazima kwake, kama hutachukua hatua haraka ya msaada wa maombi tegemea kuharibikiwa mambo yako yotee! Kila la heri na mpz jini.Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.

Nilihisi unatafuta namna ya kumwepuka, kumbe unataka usex nae laivu, basi sawa
Ilikuwa msibani mwanadada akapitiwa na usingizi ilikuwa mchana ndo akawa anafanya mapenxi usingizini
Unampa ushauri wa kumuepuka ampendae!?mwenzio amekuja kuturingishia we unaumiza kichwa.Msaada wako ni kusali sana kulingana na imani yako ndio ataondoka. Otherwise atendelea kukutumia
Kanogewa na mahaba kumbeUnampa ushauri wa kumuepuka ampendae!?mwenzio amekuja kuturingishia we unaumiza kichwa.
Anza kuuza kiti moto au fuga nguruweNatumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni
KabisaMwache atakuja kujuta baadae, kwasasa ataona kama jambo la kawaida
Kanogewa na mahaba kumbe
Sasa tena, huoni anavyojisifu kwa jinsi alivyomsugu na anavyomsifia kwa utamu alionao!?na juhudi na maarifa anayotumia ili amuone live Chamdeko wake!.Kanogewa na mahaba kumbe