Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yako ni kwamba unajiweka wazi mapema, kuna baadhi ya fikra zako wanazitambua mapema ndio maana wanakuona wa nini💔Hello JF members,
Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa
Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanaja geto hawa viumbe au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu msaada
nawasilisha.
Mchawi hela tuUna hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?
Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.
Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.
Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatskavyokuwa marahisi.
Naam 😮
UmeuaUna hela?

Kumbe nilishajua nakosea wapi kwa huyu mrembo financial servicesUna hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?
Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.
Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.
Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatskavyokuwa marahisi.
Rudi kijijini utang'oa totozsipingi labda nimechelewa mjini mbona wenzangu urahisi tu.
Una wangapi?Kumbe nilishajua nakosea wapi kwa huyu mrembo financial services
Wanne tayari ila nataka kumuongeza huyu mremboUna wangapi?
Ungemuungisha ndiziUsikate tamaa tafuta hela
Mimi mwaka 2019 nilitongozaga demu akanijibu ' izi noti mataipu...'
Mwaka huu nikakutana nae amebeba ndizi anauza na mtoto mgongoni.
Nikajifanya kama simjui , Ila aliumia sana alivyoniona.