Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Tatizo mnakurupuka kutongoza tu

Ww jitahidi upate mawasiliano yake au jitahid uwe na mazoea nae hata kidogo tu ila usioneshe kama unamtaka, ukifanikiwa hapo uwe unamjulia hali usiku au asubui muulize umekula , wanawake wengi wanapenda kusema sijala na huwa wanafanya hivi ili uwape hela sasa ww fanya muamala bila kuombwa.

Ila usimtongoze kwanza endelea hivo hivo hata wiki baadae ataona una mjali sana ataanza na yeye kukutafuta, hapo sasa ndo mtongoze.. ukimtongoza hawezi kataa hata kama ana mtu.

NB, nimefanya utafiti wangu kwa vitendo na hakuna aliyewahi kukataa
 
muulize umekula , wanawake wengi wanapenda kusema sijala na huwa wanafanya hivi ili uwape hela sasa ww fanya muamala bila kuombwa.


Nakaziaaa

Hiyo ndo nimekuelewa huwa tuna njaa mkituuliza tumekula[emoji38][emoji38]
 
Siku hizi kwanza tumeshaachaga kutongoza...ni unaflow tu muendelezo mpaka unavunja. Yaani wanaelewa vizuri tu mtiririko wa matukio
 
Back
Top Bottom