Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Confidence ndiyo kila kitu kwa sisi wanaume, nakupa scenario kama mfano tu; chukua namba ya mwanamke, wasiliana naye bila kuonyesha ishara ya kumtaka (na siyo muda wote unamtafuta, msalimie mjulie hali, mtakie wakati mwema), usiwe na haraka, baada ya siku chache, muambie muende sehemu una surprise yake, mpeleke shopping, mnunulie lingerie nzuri, bra or undergarment of some sort, kisha mwambie "naamini utapendeza sana". Mpeleke mkanywe juisi ama kwenye cinema, badilishana naye mawazo, mpe muda wa kujielezea usiwe mzungumzaji sana na usitawale mazungumzo, na siyo uanze kujisifia gari lako ama mshahara wako ama chochote cha thamani ulichonacho (hii ni ishara ya kutokujiamini na kutegemea vitu unavyomiliki vikuongezee thamani). Mrudishe nyumbani. Baada ya hapo mpe muda wa kukufikiria. Naamini mpaka hapa ukiwasiliana naye next time ata open up vema zaidi na hata kuacha clues chache kwamba u-make a move. Na usimwombe penzi directly (wanawake hawapendi uwachukulie kama malaya) tengeneza appointment, mwalike kwako kuangalia movie, au pika chakula kizuri, au msindikize kwake. Ukifika huko jiongeze kama mwanaume.

Kumbuka "Wanawake wengi hawapendi mtu predictable (anayetabirika) king'ang'anizi (needy) na mtu anayeboa (boring guys)" na haihitaji gharama ama uchawi kumpeleka mwanamke kitandani kwako, kikubwa usitumie nguvu kubwa, usiwekeze muda mwingi na gharama kubwa, hivi ndiyo tiketi ya kuja kulialia mkiachana, au akibadilika.

Naamini point hizi zitakupa mwanga kwa kiasi fulani ndugu Sungura mwizi
Kijana anitafute kama anahitaji nimpe pdf ya kitabu cha Pandora's box bure
 
Siku hizi hata namba wanatoa kirahisi tu.
Somesha muamala kwanza.
Hata dinner atapanga mwenyewe!!
Na mzigo unakula siku hiyo hiyo
 
Dah na mie nigonge monde zangu sii ndio nakwambia yaani uwe na laki mfukoni...chini ya hapo utapata tabu.

Mwengine anakwambia mie napiga wine sijui four cousins loh alafu anpiga chupa mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?

Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.

Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.

Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatskavyokuwa marahisi.
Kwa ku-summarize tu hapo awe na hela, manake out ni hela labda kama unamaanisha ile out kumtoa ndani na kuongea nae kibarazani.

Hizo tamthilia tuu demu kama akikukubali, unaweza kumtongoza hata stand,njiani, dukani, kisimani, kibarazani hata sehemu anapo fanyia kazi na akakuelewa cha msingi jiamini na husitumie maneno ya kihuni.
 
Hello JF members,

Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa.

Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu?

Msaada.

Nawasilisha.

Akili ya kijana wa Tanzania, tena ahsubuhi
 
Hello JF members,

Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa.

Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu?

Msaada.

Nawasilisha.

Utakuwa unaenda na sound za kwetu tuna tv, baba yangu anamashamba namtumbo lazima upigwe chini tu hakuna namna
 
Una hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?

Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.

Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.

Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatskavyokuwa marahisi.
Hii muvi gani dada
 
Una hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?

Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.

Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.

Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatakavyokuwa marahisi.

Hivyo wanafanya waliojifunza mapenzi ukubwani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mapenzi ni Sanaa
Mapenzi ni kipaji.
Mapenzi ni Sayansi.

Huo muda wa kutoana dinner sijui story huitumia watoto wa getikali. Madomo zege
 
Back
Top Bottom