Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Unaweza mtoa sana ukaisha kuona tu, kuna manzi moja miaka minne imepita.. Nilikuwa naitoa kwa wiki mala tatu tuna kaanga hela, naipeleka kwao naiachia gari, naifata ofisini karibia miezi mitatu.. Ikajaga tu ku ni block mzee baba sikula mbususu wala nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hela ambayo nilichoma ni ndefu sana maana kuna siku nimemtoa dinner nikampitisha sehemu shoping ila waapi dah.. Siamini mwanamke tofauti na Bi mdash ndio maana nimerudi maskani tu nikae na madogo
Usijilaumu sana. Hela zilikuwa zako na ulikuwa na mamlaka nazo, usiumie. Ulizitafuta mwenyewe na ulikuwa na uhuru wa kumpa umtakaye na kutumia utakavyo. Its a free country with the right to choose for every citizen
 
Hawa wanawake wanafilisi sana ila sasa mwanawane pale kati patamu sana. Mie kila leo nasafisha kiwanja tuu.
Nikipata million niseme nikanunue tofali akili inaona tako za wanawake tuu...mwishoe naishia piga threesome yangu naendelea na maisha.
Dunia tunapita tuu wacha tule raha na warembo
Usiwaze, hela ni zako na unatafuta mwenyewe. More enough una mamlaka nazo, kutumia utakavyo na kumpa yeyote. Its your choice, so usijilaumu. You are free to spend your money anyhow!
 
Confidence ndiyo kila kitu kwa sisi wanaume, nakupa scenario kama mfano tu; chukua namba ya mwanamke, wasiliana naye bila kuonyesha ishara ya kumtaka (na siyo muda wote unamtafuta, msalimie mjulie hali, mtakie wakati mwema), usiwe na haraka, baada ya siku chache, muambie muende sehemu una surprise yake, mpeleke shopping, mnunulie lingerie nzuri, bra or undergarment of some sort, kisha mwambie "naamini utapendeza sana".

Mpeleke mkanywe juisi ama kwenye cinema, badilishana naye mawazo, mpe muda wa kujielezea usiwe mzungumzaji sana na usitawale mazungumzo, na siyo uanze kujisifia gari lako ama mshahara wako ama chochote cha thamani ulichonacho (hii ni ishara ya kutokujiamini na kutegemea vitu unavyomiliki vikuongezee thamani). Mrudishe nyumbani.

Baada ya hapo mpe muda wa kukufikiria. Naamini mpaka hapa ukiwasiliana naye next time ata open up vema zaidi na hata kuacha clues chache kwamba u-make a move. Na usimwombe penzi directly (wanawake hawapendi uwachukulie kama malaya) tengeneza appointment, mwalike kwako kuangalia movie, au pika chakula kizuri, au msindikize kwake. Ukifika huko jiongeze kama mwanaume.

Kumbuka "Wanawake wengi hawapendi mtu predictable (anayetabirika) king'ang'anizi (needy) na mtu anayeboa (boring guys)" na haihitaji gharama ama uchawi kumpeleka mwanamke kitandani kwako, kikubwa usitumie nguvu kubwa, usiwekeze muda mwingi na gharama kubwa, hivi ndiyo tiketi ya kuja kulialia mkiachana, au akibadilika.

Naamini point hizi zitakupa mwanga kwa kiasi fulani ndugu Sungura mwizi
Wastage of time
 
Brother unaanzishaje mazungumzo ukikutana na pisi kali(how do you initiate conversations)? unaongeaje na pisi kali avutiwe na sauti yako(tones of your voice)? unaongea nini kinachomvutia kukusikiliza(Whats your contents)? kuna siri fulani imeandikwa kwenye biblia.. hebu rejea mbinu alizotumia nyoka kwenye bustani ya Eden halafu zifanyie mazoezi nina kukahikishia hakuna mwanamke duniani atakayekukataa... Mwanamke ananaswa kwa Maneno tu (Words Contents) halafu ndio mbolea zingine zinafuata kama pesa, kumtoa dinner, sijui nini n.k nakuhakikishia kama hauna maneno (contents) brother hata huko dinner ukimpeleka utavurugwa vibaya sana au utampeleka tu dinner lakini papuchi inaenda kuliwa na wengine tu utajutraaaaa.. 😂😂
 
Brother unaanzishaje mazungumzo ukikutana na pisi kali(how do you initiate conversations)? unaongeaje na pisi kali avutiwe na sauti yako(tones of your voice)? unaongea nini kinachomvutia kukusikiliza(Whats your contents)? kuna siri fulani imeandikwa kwenye biblia.. hebu rejea mbinu alizotumia nyoka kwenye bustani ya Eden halafu zifanyie mazoezi nina kukahikishia hakuna mwanamke duniani atakayekukataa... Mwanamke ananaswa kwa Maneno tu (Words Contents) halafu ndio mbolea zingine zinafuata kama pesa, kumtoa dinner, sijui nini n.k nakuhakikishia kama hauna maneno (contents) brother hata huko dinner ukimpeleka utavurugwa vibaya sana au utampeleka tu dinner lakini papuchi inaenda kuliwa na wengine tu utajutraaaaa.. [emoji23][emoji23]
Wastage of time, weka dau malizana naye, kila mtu achukur time yake. Hayo uliyoandika ni kwa mke wa KUOA tu!

Note the last words...
 
Wanawake ukiwatongoza usiwe serious sana ukiwa serious sana unawakosa ila ukiwatongoza kimasikhara ndo unawala, yaani ukimfata weka ile yaani hata akichomoa potelea mbali, hata huumii lakini ukipania lazima umpate ndo unawakosa. Siku hizi hakuna kutongoza chukua namba panga appointment ila mfukoni uwe na pesa sasa outing Kama anapiga ulabu weka bajeti ya bia zake nne , outing nyingine mwite getoo
 
Mkuu ushauri wangu tambua kwanza unae mtongoza ni msichana au ni mwanamke mwenye akili zake ... Hapo utakua umepata majibu ya nani utongoze nani uache...
 
Wanawake ukiwatongoza usiwe serious sana ukiwa serious sana unawakosa ila ukiwatongoza kimasikhara ndo unawala, yaani ukimfata weka ile yaani hata akichomoa potelea mbali, hata huumii lakini ukipania lazima umpate ndo unawakosa. Siku hizi hakuna kutongoza chukua namba panga appointment ila mfukoni uwe na pesa sasa outing Kama anapiga ulabu weka bajeti ya bia zake nne , outing nyingine mwite getoo
Wastage of time
 
Hello JF members,

Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa.

Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu?

Msaada.

Nawasilisha.

Achana na kutongoza kwa kulazimisha na kuwa king’ang’anizi
Acha kujisifiasifia yaani punguza mbwembwe

Acha kupest sms goggle za namna ya kutongoza mwanamke
Tumia sms kutongoza usipige simu ndio utongoze

Usilazimishe acha usiulize ulize ukishamwambia unampenda mpe mda atakujibu mwenyewe

Mimi kama mimi ukiniganda na kunilazimisha sahau kukubaliwa
 
Wee bwana pisi kali outing yake tuu laki hizo bra na kyupi utashaka 40k imeenda. Mara siju hujapigwa kibomu cha birthday cake
Wewe unapata maslay queens ndio maana unasema hivyo sio kila pisi Kali ni slay queen jua Hilo kwanza wapo wanawake ni wakali ile mbaya ila hana gharama me binafsi niliwahi kumpata demu ni mkali ngozi ya mtume, figa matata na wala hakuwa akiniomba hela ovyo ovyo sema shida ilikuwa yeye ni muislamu mimi mkristo Bankroll ebu tumpe knowledge ndugu yetu huyu mzabzab
 
Achana na kutongoza kwa kulazimisha na kuwa king’ang’anizi
Acha kujisifiasifia yaani punguza mbwembwe

Acha kupest sms goggle za namna ya kutongoza mwanamke
Tumia sms kutongoza usipige simu ndio utongoze

Usilazimishe acha usiulize ulize ukishamwambia unampenda mpe mda atakujibu mwenyewe

Mimi kama mimi ukiniganda na kunilazimisha sahau kukubaliwa
Kwani upo peke yako? Mimeseji nakutumia kama hutaki natafuta mwingine.
 
Wewe unapata maslay queens ndio maana unasema hivyo sio kila pisi Kali ni slay queen jua Hilo kwanza wapo wanawake ni wakali ile mbaya ila hana gharama me binafsi niliwahi kumpata demu ni mkali ngozi ya mtume, figa matata na wala hakuwa akiniomba hela ovyo ovyo sema shida ilikuwa yeye ni muislamu mimi mkristo Bankroll ebu tumpe knowledge ndugu yetu huyu mzabzab
Aisee so mzeeya unakojolea pazuri
 
Aisee so mzeeya unakojolea pazuri
Katika mademu zangu wote huyu siwezi kumsahau kwanza show alikuwa anajua sana ukipiga nae game Unaweza ukakaa wiki nzima usipige Tena, alikuwa hana tabia ya uswahili ukimwita ghetto anakuja bila shida bila kukuomba nauli au pesa yoyote, alikuwa anipangii kupiga mbususu labda itokee yupo kwenye period, mtoto akitabasamu hata kama ulikuwa na huzuni unajikuta unafuraha, ukiliangalia usoni hata kama ulikuwa na stress zako unajikuta zinaondoka kwa muda.Sema changamoto Moja tu alikuwa nayo ni wivu tu kwingine kote alikuwa yupo vizuri
 
Nipe mie basi...nipo tayari kubadili dini ili nikojokee pazuri
 
Back
Top Bottom