Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Unamdanganya mtoa mada, mademu niliowapataga sikuwapa hata tsh 100 yangu, unaweza ukampeleka mdada dinner Hyatt regency au serena, halafu mwanaume Ukiomba busu, usiambulie hata busu, mie nliemwalika tu ghetto, napewa yote Na akiondoka hapewi hata nauli zaidi ya kusindikizwa, ewe mtoa mada huwezi nunua hisia za mwanamke kwa kumpa vijisenti vyako, kama hakupendi hakupendi tu, sanasana atakuigizia anakupenda, ili aendelee kukuvuna hela HannahUna hela?
Ukikutana na mtu umemwelewa usimtongoze. Mwalike dinner halafu muulize yeye angependa kwenda sehemu gani kupata hiyo dinner?
Kama una kausafiri, mwambie utamfuata na kumrudisha.
Mkikutana kwenye dinner pigeni story mbali mbali kuisoma akili yake. Usimtongoze hiyo siku.
Mrudishe kwake wewe ondoka zako. Baada ya hapo utaona mambo yatskavyokuwa marahisi.