MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA

MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA
Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Sijui hata nianzie wapi muweze kunielewa. Mimi ni kijana umri 26 muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nipo tu nyumbani sina ishu ya kufanya zaidi ya kulala tu ndani na kuishia kujilaumu sana kwa yaliyopita. Mnamo mwaka 2015 nilibahatika kupata mwenza kipind bado nasoma chuo ila kwa upande mwengine niliweza kuweka rehani maisha yangu kwani huyu mwenza wangu alikuwa anasumbulia na maradh ya ini pamoja na HIV. Sikupenda kumtenga nilijotoa kwa kila hari lakin mwisho wa siku niliambulia kibuti baada ya kuachana mwaka 2017 December ndipo nlipoingia kwenye matatizo makubwa sana kwani mitandao pia ilichangia kwa kiasi kikubwa sana kuniweka kwenye mawazo pale nilipokuja kugundua kwamba ugonjwa wa ini unaambukizwa hata kwa njia ya mate ndipo nlipokuwa na wasiwasi kila siku kwa kuhisi nimepata maambukizi lakini nilipopima mara mbili January na April sikuweza kukutwa na hayo maambukizi kwakweli bado nilikua na wasiwasi zaidi kwan kwa huu mwaka pekeyake nimepima HIV zaidi ya mara 10 lakini sikupata maambukizi. Kwa upande mwengine wa maisha yangu nkajikuta nimeingia kwenye mchezo mbaya sana ambao nimejitahidi sana kuacha lakin nashindwa mchezo wa PUNYETO kwani nimekuwa teja aliyekubuu. Hivi karibuni nilipata mwenzangu mwengine mnamo March 2018 turishiriki ngono kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nilijikuta nafanya oral sex na huyu binti mnamo April 2018 ntaanza kuona kama kuna mabadiriko kwenye kinywa changu pamoja na kuchoka mara kwa mara, tumbo kujaa gesi maumivu ya tumbo upande wa kulia karibu na mbavu, choo cheusi, tumbo kuunguruma, shingo kuuma kwa mbali katika hiyo hari nimefanya vipimo kama mkojo, choo kikubwa na full blood count lakini kwenye full blood count nimeenda hospital mbili tofauti wote wakidai nina bacteria infection na kuanza kutumia dawa za antibiotics lakn dariri ziko palepale huku nikiendelea na mchezo huu wa PUNYETO. Nikijaribu kugoogle nakutana na vitu ambavyo vinatisha mno nashindwa ambavyo ndivyo vimenipelekea mm kuwa mtu wa mawazo yasiyokuwa na mwisho. Ukigoogle utaambiwa cancer, ulcers, hepatitis, figo na magonjwa mengine makubwa makubwa kwakwel nateseka na msongo najihisi naumwa magonjwa yote haya kwani sina raha kabisa nimekuwa mtu wa kujifungia ndani na kujilaumu sana kwa niliyopitia. Naombeni ushauri wenu wa kuu kwan najiona kama nakufa kesho hivi
 
Mmh
Hueleweki mkuu
Yani ulikua na dem ana ukimwi na ugonjwa wa ini lakini bado wewe ukawa unamla denda ?

Emu tulia utuelezee vizuri
Ndio mkuu ni denda tu lakini hatukushiringi ngono
 
Pole sana ila nahisi wewe si msomi wa chuo maana hata ulivyoandika.

Pili kwanini mtu ana maambukizi na ukawa unaenda naye bila kinga wala kujali?

Uende ukapime tena na kamwe usiamini hizo ndoto ulizoziona google uende ukafanye checkup kisha utapata majibu kamili

Hata uki google dalili za Typhoid zinafanana kabisa na zile za maambukizi ya VVU hivyo usiruhusu hiyo hali

Kama ni muislam fanya toba ya kweli mrudie muumba wako na jiepushe na matendo maovu kama hayo badala yake kithirisha matendo mema (Good deeds)

Allahumma Amiin
 
Hyo tabia ni mbaya sana, nilikuwa nafanya mara moja moja nilipokuwa advanced level na chuo na pia kwenye laptop yangu niliweka phonograph zinaaanza kuingia akilini. Baadae nikaamua kuachana nazo izo mambo nikafuta video zoote za ngono, nikaamua kuishi bila kuwaza sex nipo fit nimeoa na nna watoto watatu, maisha yanasonga usiwe mtumwa wa punyeto
 
Pole sana ila nahisi wewe si msomi wa chuo maana hata ulivyoandika.

Pili kwanini mtu ana maambukizi na ukawa unaenda naye bila kinga wala kujali?

Uende ukapime tena na kamwe usiamini hizo ndoto ulizoziona google uende ukafanye checkup kisha utapata majibu kamili

Hata uki google dalili za Typhoid zinafanana kabisa na zile za maambukizi ya VVU hivyo usiruhusu hiyo hali

Kama ni muislam fanya toba ya kweli mrudie muumba wako na jiepushe na matendo maovu kama hayo badala yake kithirisha matendo mema (Good deeds)

Allahumma Amiin
Assante ndugu ntajitahid sana kujikita kwenye ibada kwani nimekuwa ni mtu wa kuingia na kutoka hata sijui nini kimenisibu
 
MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA
Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Sijui hata nianzie wapi muweze kunielewa. Mimi ni kijana umri 26 muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nipo tu nyumbani sina ishu ya kufanya zaidi ya kulala tu ndani na kuishia kujilaumu sana kwa yaliyopita. Mnamo mwaka 2015 nilibahatika kupata mwenza kipind bado nasoma chuo ila kwa upande mwengine niliweza kuweka rehani maisha yangu kwani huyu mwenza wangu alikuwa anasumbulia na maradh ya ini pamoja na HIV. Sikupenda kumtenga nilijotoa kwa kila hari lakin mwisho wa siku niliambulia kibuti baada ya kuachana mwaka 2017 December ndipo nlipoingia kwenye matatizo makubwa sana kwani mitandao pia ilichangia kwa kiasi kikubwa sana kuniweka kwenye mawazo pale nilipokuja kugundua kwamba ugonjwa wa ini unaambukizwa hata kwa njia ya mate ndipo nlipokuwa na wasiwasi kila siku kwa kuhisi nimepata maambukizi lakini nilipopima mara mbili January na April sikuweza kukutwa na hayo maambukizi kwakweli bado nilikua na wasiwasi zaidi kwan kwa huu mwaka pekeyake nimepima HIV zaidi ya mara 10 lakini sikupata maambukizi. Kwa upande mwengine wa maisha yangu nkajikuta nimeingia kwenye mchezo mbaya sana ambao nimejitahidi sana kuacha lakin nashindwa mchezo wa PUNYETO kwani nimekuwa teja aliyekubuu. Hivi karibuni nilipata mwenzangu mwengine mnamo March 2018 turishiriki ngono kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nilijikuta nafanya oral sex na huyu binti mnamo April 2018 ntaanza kuona kama kuna mabadiriko kwenye kinywa changu pamoja na kuchoka mara kwa mara, tumbo kujaa gesi maumivu ya tumbo upande wa kulia karibu na mbavu, choo cheusi, tumbo kuunguruma, shingo kuuma kwa mbali katika hiyo hari nimefanya vipimo kama mkojo, choo kikubwa na full blood count lakini kwenye full blood count nimeenda hospital mbili tofauti wote wakidai nina bacteria infection na kuanza kutumia dawa za antibiotics lakn dariri ziko palepale huku nikiendelea na mchezo huu wa PUNYETO. Nikijaribu kugoogle nakutana na vitu ambavyo vinatisha mno nashindwa ambavyo ndivyo vimenipelekea mm kuwa mtu wa mawazo yasiyokuwa na mwisho. Ukigoogle utaambiwa cancer, ulcers, hepatitis, figo na magonjwa mengine makubwa makubwa kwakwel nateseka na msongo najihisi naumwa magonjwa yote haya kwani sina raha kabisa nimekuwa mtu wa kujifungia ndani na kujilaumu sana kwa niliyopitia. Naombeni ushauri wenu wa kuu kwan najiona kama nakufa kesho hivi
Kwa hyo uyo mchumba mweny HIV na homa ya INI ulishawahi kudate nae?
 
Back
Top Bottom