Msaada, KITAMBI changu kimegoma kutoka licha ya mazoezi makali.

hapo mkuu sukari ya kwenye hayo majuice ndo mchawi wako, ucitumie kitu chochote chenye sukari maana sukari ndo inayoleta hzo belly fat,
mbali na kukimbia hakikisha unapiga mazoezi ya tumbo ili ukaze misuli ya tumbo fanya hvyo mara tano kwa week ndan ya mwezi mmja ktambi chote kwisha.
tumia asali kama mbadala wa sukari
 
Acha kunywa maji ya baridi,kikiendelea kugoma.Subiri upate stress kama za madeni yani kopa hata milioni 20 bank alafu ushindwe kulipa utakuja Ku IPA mrejesho kama bado kimegoma
 
Fanya mazoezi ya kata tumbo au nunua Lola ya mazoezi within 2 week utaona mabadiliko mzee nenda kwawauza vifaa vya mazoezi nunua Lola
 
Habari zenu wanajukwaa.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi nina mwili wa wastani, sio bonge wala sio kimbaumbau. Ila nina kitambi fulani hivi, sio kikubwa sana ila kinanikera sana kuwa nacho. Sikitaki kabisa.
Hivyo mwaka huu nilikusudia kupambana nacho na kweli nimejipa muda karibu kwa wiki mara tatu mida ya jioni. Ninakimbia kilometa takribani nne ndani ya muda fulani, muda mfupi niwezao na huwa najaribu raundi ijayo nivunje rekodi yangu ya mara ya mwisho. Huwa natokwa na kasho jingi sana sababu ya mwili kuchoma mafuta. Nikitoka hapo naruka kamba. Na pia mlo wangu nimebadili toka mwaka umeanza. Nakunywa juisi ya matunda nimetengeneza hom na bites chache. Mchana mara nyingi napo nakunywa juice tu. Sipati njaa hivyo niko fresh tu na hizo juice. Pia nakunywa maji kwa siku lita si chini ya 2 mpaka 3, sinywi maji baridi.

Cha ajabu, mwili unapungua, na nafurahi ila kitambi naona hakipungui. Ni njia gani sahihi ya kupunguza kitambi bila midawa? Wazoefu naombeni msaada. Ni miezi 2 sasa ila ktk tumbo sioni mabadiliko.
Nimeamini kutoa kitambi sio kazi ya mchezo mchezo.
Dawa ni moja tu ndugu. punguza kula sana. Na ule mlo kamili, kiasi muafaka. Na unywe maji ya kutosha.

Na kipindi hiki cha Kwaresma ukifunga siku 33 zilizobaki kitapungua sana kitambi chako.

Jaribu utaona matokeo chanya kabisa
 
Kwa wale ambao kula ni starehe kwao ni mtihani sana kukabili kitambi
 
Habari zenu wanajukwaa.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi nina mwili wa wastani, sio bonge wala sio kimbaumbau. Ila nina kitambi fulani hivi, sio kikubwa sana ila kinanikera sana kuwa nacho. Sikitaki kabisa.
Hivyo mwaka huu nilikusudia kupambana nacho na kweli nimejipa muda karibu kwa wiki mara tatu mida ya jioni. Ninakimbia kilometa takribani nne ndani ya muda fulani, muda mfupi niwezao na huwa najaribu raundi ijayo nivunje rekodi yangu ya mara ya mwisho. Huwa natokwa na kasho jingi sana sababu ya mwili kuchoma mafuta. Nikitoka hapo naruka kamba. Na pia mlo wangu nimebadili toka mwaka umeanza. Nakunywa juisi ya matunda nimetengeneza hom na bites chache. Mchana mara nyingi napo nakunywa juice tu. Sipati njaa hivyo niko fresh tu na hizo juice. Pia nakunywa maji kwa siku lita si chini ya 2 mpaka 3, sinywi maji baridi.

Cha ajabu, mwili unapungua, na nafurahi ila kitambi naona hakipungui. Ni njia gani sahihi ya kupunguza kitambi bila midawa? Wazoefu naombeni msaada. Ni miezi 2 sasa ila ktk tumbo sioni mabadiliko.
Nimeamini kutoa kitambi sio kazi ya mchezo mchezo.
Mara ya mwisho kutumia dawa ya minyoo ni lini?
 
Back
Top Bottom