Chale david
Member
- Jun 12, 2023
- 51
- 27
Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kak kozi ganDiploma inamfaa.
Saw lakn ip yeny maslahi zaidKwa sciences neda pharmacy
Lakini upande wa business neda coz yoyote
Business na [emoji648] ana F?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sciences neda pharmacy
Lakini upande wa business neda coz yoyote
Kwan haiwezekan wakat kapangiwa chuo cha TIABusiness na [emoji648] ana F?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kikubwa nijue coz gan nzr zenye ajilaBusiness na [emoji648] ana F?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo TIA kapangiwa course gan??Kwan haiwezekan wakat kapangiwa chuo cha TIA
HR vp ni nzurHapo TIA kapangiwa course gan??
Hakuna ajira soma tu upate elimu ila ingekuwa ni mimi hiyo ada ningefanya mtajiEt nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/bussness administration/procurement and logistics mananger /and marketing and Public relations. Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo
Saw bd naendelea kusikiliza ushauriHakuna ajira soma tu upate elimu ila ingekuwa ni mimi hiyo ada ningefanya mtaji
Kwa upande wa bussness kozi gan nzuri kati ya iz bussness administration/ human resources management/procurement and logistics manager/marketing and Public relationsKwa sciences neda pharmacy
Lakini upande wa business neda coz yoyote
kila kozi ina ajira, shida ni namna ya kuipata hiyo ajira. N hizo kozi zote zina watu wengi sana wanaosoma na akaribu vyuo vyote nchini wanatoa kuanzia ngazi ya certificate hadi masters. Nenda kasome usogeze miaka then ukimaliza utajua cha kufanya, Mambo ya ajira ni mipango ya MUNGU.Et nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/bussness administration/procurement and logistics mananger /and marketing and Public relations. Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo