Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wapo kwa ajili ya maelekezo ya madaktari?Wewe kasome Business Administration dogo.
Hizi D tatu zimeshaharibu kabisa sekta ya afya. Tuna manesi na matabibu hawawezi hata kuchoma sindano wala kuelewa maelekezo ya madaktari. Wanatutesa sana.
Unadhani wauguzi huwa hawapewi maelekezo na madaktari?Kwani wapo kwa ajili ya maelekezo ya madaktari?