Chale david
Member
- Jun 12, 2023
- 51
- 27
- Thread starter
- #21
Saw vp yenye uwezo mkubwa wa kujiajiliHamna yenye Ajila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saw vp yenye uwezo mkubwa wa kujiajiliHamna yenye Ajila
Kozi ipi yey uwezo mkubwa wa kujiajiliAJIRA NI NGUMU KUPATA..!
Hakuna course yenye unafuu hapo zaidi ya kujifariji tu.
soma course za scienceKozi ipi yey uwezo mkubwa wa kujiajili
Kozi zote zina ajira we soma muhimu uwe na cheti kwanzaEti nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/ bussness administration/ procurement and logistics mananger and marketing and Public relations.
Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo
Nakushauri kama mzoefu na TIA, hapo kozi zenye unafuu wa ajira ni Business Administration au Marketing and public relations wanaokuvunja moyo ni kwamba hawajui scope ya hizo kozi hapo, Fanya maamuzi moja kati ya hizo kozi mbili hutajutia trust me, na kwa TIA ni bonge la chuo kwa mfumo wake hutajutia.Eti nlikuwa nauliza kati ya kozi iz ipi yenye ajira kati ya humans resource management/ bussness administration/ procurement and logistics mananger and marketing and Public relations.
Pia ufaulu wake kutoka na iko chuo
Kasome Business Administration.Kati ya bussness administration na clinical medicine ipi kozi nzuri zaid yaani upande wa kujiajili na kuajiliwa,heshima na mishahara yake
Kati ya bussness administration na clinical medicine ipi kozi nzuri zaid yaani upande wa kujiajili na kuajiliwa,heshima na mishahara yake
Siyo ivo bhana kak yaan kaz isiyo ya utumwa sana job sijui unanielewa hpHeshima tena kvp yaan mtaan utakuwa unaheshimika sn kisa ww n bussiness admistrition au ww clinical officer watu ndo wakuheshim au vp sijakuelewa
Asante chuoKasome Business Administration.