Hizi D tatu zimeshaharibu kabisa sekta ya afya. Tuna manesi na matabibu hawawezi hata kuchoma sindano wala kuelewa maelekezo ya madaktari. Wanatutesa sana.