Kwa huu uandishi dogo kufanya sahihi TU kukupigia mwanao na kumfukuzakuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Umri wa huyo mpiga mimba unaemuita kajamaa hauujui?kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Hayo yoote umeyataka wewe.kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Hawa watoto wa siku hizi unaweza kukuta hako katoto kako kamepewa mimba na mzee mwezako..fuatilia kwanza.kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
sasa kwa kuwa kenyewe kamekiri ni yake sasa kwa muda huo sura ya katoto haijaonekana kanawezaje kumsaidia binti hela ya vocha maana majukumu mengine mzazi mimi si shidaHawa watoto wa siku hizi unaweza kukuta hako katoto kako kamepewa mimba na mzee mwezako..fuatilia kwanza.
ndo hivyo nataka na kenyewe karike kidogo kipindi hiki cha mimba maana katoto kakitoka anakuwa mzazi mwenza baba nakuwa sina maamuzi hayo yanabaki kuonana kwa ajiri ya mwanawe kama si kake wanatemanaKajamaa kamemla binti yako hadi mimba.
Kajamaa katakuwa kamefaidi sana.
Kajamaa katakuwa kamepata mwingine.
Kajamaa bwanaa noma sana.
Kajamaaa......
mimi hata sina shida na wa kumpangia ndo maana kanyoshwa na anaemtaka sasa kajamaa kanakataa matokeo ya yaliyopatikana baada ya kumnyosha ndo maana hata sikutaka mia yake ila kanakuaje na dharau wakati hakana hela sasa nataka mnipe ujanja ili nikaonyeshe kwamba hakaruhusiwi kuwa na dharau bila mtonyoAchana na mambo ya kiwaki cha msingi mfundishe Binti yako kujitegemea ili aweze kuendesha maisha yake,huyo kashakuwa mtu mzima ,huwezi kumpangia mtu wa kumtoa upwiru,daa nimekumbuke niozeshe mimi na hiyo mimba yake nitamlea