mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 293
- 510
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe