Msaada kuhusu hili

Msaada kuhusu hili

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
293
Reaction score
510
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
 
Kwa huu uandishi dogo kufanya sahihi TU kukupigia mwanao na kumfukuza
 
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Umri wa huyo mpiga mimba unaemuita kajamaa hauujui?
 
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Hayo yoote umeyataka wewe.
Alitaka kuolewa ukang'ang'ania mambo ya mahari tena mahari kimo kireeeefu.
 
kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki kuoa eti katahudumia mimba tu akiwa home kwangu ,,sasa wadau kisheria imekaaje hii kama nikitaka kukufanya kahudumie kama kanavyodai kenyewe
Hawa watoto wa siku hizi unaweza kukuta hako katoto kako kamepewa mimba na mzee mwezako..fuatilia kwanza.
 
sasa kwa kuwa kenyewe kamekiri ni yake sasa kwa muda huo sura ya katoto haijaonekana kanawezaje kumsaidia binti hela ya vocha maana majukumu mengine mzazi mimi si shida
 
Kajamaa kamemla binti yako hadi mimba.

Kajamaa katakuwa kamefaidi sana.

Kajamaa katakuwa kamepata mwingine.

Kajamaa bwanaa noma sana.

Kajamaaa......
ndo hivyo nataka na kenyewe karike kidogo kipindi hiki cha mimba maana katoto kakitoka anakuwa mzazi mwenza baba nakuwa sina maamuzi hayo yanabaki kuonana kwa ajiri ya mwanawe kama si kake wanatemana
 
Achana na mambo ya kiwaki cha msingi mfundishe Binti yako kujitegemea ili aweze kuendesha maisha yake,huyo kashakuwa mtu mzima ,huwezi kumpangia mtu wa kumtoa upwiru,daa nimekumbuke niozeshe mimi na hiyo mimba yake nitamlea
 
jamani hawa wa wazee wa sheria na ustawi wa jamii mnasema kuhusu hili kajamaa nikapigeje mkwara na mimi nionekane najua ABC kasinione mdebwedo nipeni maujanja basi
 
Achana na mambo ya kiwaki cha msingi mfundishe Binti yako kujitegemea ili aweze kuendesha maisha yake,huyo kashakuwa mtu mzima ,huwezi kumpangia mtu wa kumtoa upwiru,daa nimekumbuke niozeshe mimi na hiyo mimba yake nitamlea
mimi hata sina shida na wa kumpangia ndo maana kanyoshwa na anaemtaka sasa kajamaa kanakataa matokeo ya yaliyopatikana baada ya kumnyosha ndo maana hata sikutaka mia yake ila kanakuaje na dharau wakati hakana hela sasa nataka mnipe ujanja ili nikaonyeshe kwamba hakaruhusiwi kuwa na dharau bila mtonyo
 
Umemlea vibaya binti yako, wewe ulimwambia amlete jamaa ajitambulishe lakini alipoenda hakurudi mpaka alipofukuzwa.
Ama Lea binti na mtoto wake au rudisha binti kwa bwana wake.
 
Back
Top Bottom