Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

Ni kweli kwamba simu zote za US ni network locked?
Kama asemavyo jamaa hapo juu?
Siyo simu zote.

Ila inabidi u specify unaponunua kwamba unataka simu unlocked.

Simu nyingi za phone companies (T Mobile, AT&T, Verizon etc) ni locked. Unless uwaambie unataka simu unlocked, mostly utapewa simu locked.

Mimi simu yangu nilinunua Best Buy unlocked kwa sababu nataka niweze kutumia Tanzania au kumpa mtu Tanzania nikinunua mpya.
 
Shukrani sana.

Back
Top Bottom