Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

jukwaa la elimu limekosa wachangiaji ,watu wapo jukwaa la mahusiano na mapenzi



kazi kweli kweli/jobtruetrue
Hatari..sana. ishu ikishakuwa kitaaluma taluma hivi wachangiaji hatusismki nazo. ..mtoa post nadhani chukua mda pia kufanya search mitandaoni na pitia website zao..na pia pitia tofuti ya TCU ili kuona vyuo vya nje vya distance learning. Mtandaoni utapata ila kujua kama ni accredited ni ngumu..
 
Website ya TCU sijaona hiko kitu, vyuo vipo vingi mitandaoni lakini kujua kipi kinatambulika ndio changamoto. Hizi taasisi zote TCU na OUT hata kupokea simu ni changamoto.
 
Bachelor of Public Health, Mount Kenya University, University of Zimbambwe, etc Kozi zingine za afya huwezi soma online
 
CARI VISION STUDY ABROAD UNIVERSITIES LTD
Ni taasisi inayohusika na kuunganisha wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo mbalimbali nje ya nchi. Iwe online au in campus tunakusaidia.
Call 0677300030
WhatsApp 0677300030
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…