Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Wazo zuri kwaio soko zur la nyanya linakuwa mwez wa ngapi na wa ngapi ukiacha huu wa 9 unaokuja?
Soko zuri ni mwezi huo wa 9 hadi mwezi wa 3 na wa nne mwanzoni....ila ukiwa na soko maalum mfano hotelini....supermarket....unaweza ukalima kipindi kingi kwa order maalum
 
kuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Asila iko vizuri inavumilia magonjwa na uhaba wa maji lakini inazaa mazao kidogo. Panda eden itakuokoa inazaa vizuri. Morogoro sahivi ndoo ya nyanya sh ngp
 
Asila iko vizuri inavumilia magonjwa na uhaba wa maji lakini inazaa mazao kidogo. Panda eden itakuokoa inazaa vizuri. Morogoro sahivi ndoo ya nyanya sh ngp
Eden ndio hii inayozalishwa na Balton¿
 
Rio grand ni mbegu za nyanya ambazo sio hybrid kama assila f1 eden..au kama zile za riz wan!!

Ni komoni na inatumika na wakulima wengi!
Dah...umezitambuaje mkuu...maana hizi wameniuzi...RIJK ZWAAN...wameniambi Ni F1
 
Dah...umezitambuaje mkuu...maana hizi wameniuzi...RIJK ZWAAN...wameniambi Ni F1
Riz wan mbegu zao ni hybrid kama ilivyo za eden...assila...

Kujua kwa macho ngumu...ila ukisoma kwenye pakti utaona imeandikwa hybrid au f1!! Hii inamaanisha ni hybrid seeds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…