Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Wazo zuri kwaio soko zur la nyanya linakuwa mwez wa ngapi na wa ngapi ukiacha huu wa 9 unaokuja?
Soko zuri ni mwezi huo wa 9 hadi mwezi wa 3 na wa nne mwanzoni....ila ukiwa na soko maalum mfano hotelini....supermarket....unaweza ukalima kipindi kingi kwa order maalum
 
58446cf91a7bcc233de038a3e2233524.jpg
c4da341ffc8846bc4d85efc2129c98e7.jpg

Kupatwa kwa shamba
 
kuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Asila iko vizuri inavumilia magonjwa na uhaba wa maji lakini inazaa mazao kidogo. Panda eden itakuokoa inazaa vizuri. Morogoro sahivi ndoo ya nyanya sh ngp
 
Asila iko vizuri inavumilia magonjwa na uhaba wa maji lakini inazaa mazao kidogo. Panda eden itakuokoa inazaa vizuri. Morogoro sahivi ndoo ya nyanya sh ngp
Eden ndio hii inayozalishwa na Balton¿
 
Rio grand ni mbegu za nyanya ambazo sio hybrid kama assila f1 eden..au kama zile za riz wan!!

Ni komoni na inatumika na wakulima wengi!
Dah...umezitambuaje mkuu...maana hizi wameniuzi...RIJK ZWAAN...wameniambi Ni F1
 
Back
Top Bottom