Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Yawezekana ni tuta absoluta au kiswahili waitwa kantangaze ambaye ni vigumu sana kumuua na anazoea sumu haraka. Inabidi upige dawa za kuulia wadudu kila mara aina tofautiHilo jani litakuwa limepitiwa na kitu gani...?
Niliyemwelewesha kaelewa sasa nakushangaa na akili yako ngumu huwez kuelewa ...loweka icho kichwaAndika vitu vya msingi kuna watu wanajifunza...kubwa jinga
Shukrani mkuu pamojaKuoza kiuno ni damping off ugonjwa wa kuvu ambao hutibika kwa kupulizia fungicides
sevia wanahusika na nn mkuu?Big up mzee wa sevia. Nipo rukwa but sevia kilimanjaro ndo mlinifungua macho kuhusu kilimo
Nikweli unavuna miezi hiyo ila ni mpaka uifunge kwa kamba zaidi ya mara mbili na inategemeana na aridhi ya eneo husika na huduma pia uendelee kuihudumia hapo utafikisha hiyo miezi kuivunaAssila f1 kuna baadhi ya wakulima wanadai ukianza kuvuna unavuna miezi 6.ukweli ni upi?
Mkuu ninavyo virusha maji sprinklers...huwa navitumia na muda mwingine namwagilizia mche hadi mche kwa mkono.Kwanini matuta umeyainua sana na ni membamba? Je kila tuta utapanda mistari mingapi? Utatumia njia gani kumwagilia?
Asante mkuu...hivi kuna tofauti gani kati ya mbegu ndefu na mbegu fupi ya nyanya....?Yawezekana ni tuta absoluta au kiswahili waitwa kantangaze ambaye ni vigumu sana kumuua na anazoea sumu haraka. Inabidi upige dawa za kuulia wadudu kila mara aina tofauti
Mkuu kipindi naandaa shamba sikuwa kabisa na utaalam nilinunua mbegu nyingi kuliko ukubwa wa eneo...eneo lilikuwa dogo sana...ndio maana unaona hivyo ila nadhani muda mwingine nitafanya vizuri zaidiUngefanya hayo matuta upana kuwa sentimeta 30 ungeweza otesha mistari miwili kwa tuta
Mkuu naomba msaada baadhi ya miche yangu yA nyanya imekumbwa na hali ya majani ya juu kujikunja ama kusinyaa....kuna mmoja nimeukuta umesinyaa kabisa kama umeungua hivi...ili ni tatizo gani¿ nitañitatuaje?Katika kilimo asilimia 10 ya gharama ni mbegu na asilimia 90 ni huduma ,ukiweka mbegu ya kubahatisha remember 90 percent iko pale pale utakua unaanda hasara so ni bora usifanye bahati nasibu wewe chukua mbegu bora panda na hudumia vyema ,hope umenielewa
Mkuu msaada mnyauko umevamia miche yangu ya nyanya....nifanyeje kutatua hili tatizo...Kwa huku arusha eden f1 tunatoka nayo
Mkuu kwanini baadhi ya mbegu hutolewa matawi na baadhi hazitolewi?Semi maana yake iko katikati ya nyanya fupi (determinate) na nyanya ndefu (indeterminate) so hizi semi hazizidi urefu wa mita 2 na hatutolei matawi (suckers)
Kutoa elimubkwa wakulima wa mazao ya mboga free of charge ,ni project inafanya shamba darasa ya kufundishia wakulima ,karibu sanasevia wanahusika na nn mkuu?
Zinazotolewa matawi ni nyanya fupi ambazo hurefu hazizidi mita 1.5 sasa kwa matunda huzaliwa kila baada ya cm15 au 20 (std) hivyo ukitoa matawi kwa mche wa kurefuka 1.5m inamaana itakua na vichane 6 tu ,ukiacha matawi inamaana kila tawi likikua vichane 6 ikiwa matawi manne tu unachane roughly 24,kila kichane kikiwa na matunda manne hapo ni matunda 96 (kg 12 roughly per plant)Mkuu kwanini baadhi ya mbegu hutolewa matawi na baadhi hazitolewi?
Hii mbona sioni tatizo lolote mkuuMkuu msaada mnyauko umevamia miche yangu ya nyanya....nifanyeje kutatua hili tatizo...
ahsante mkuu,,kwa hapa dar wapo? au wanapatikana mikoa ganiKutoa elimubkwa wakulima wa mazao ya mboga free of charge ,ni project inafanya shamba darasa ya kufundishia wakulima ,karibu sana
Ofisi iko Moshi mile sita ,kwa dar kuna afisa kilimo yuko based Bagamoyoahsante mkuu,,kwa hapa dar wapo? au wanapatikana mikoa gani
ok, bagamoyo si mbali hapo,,nampataje ss,,km unaweza kunisaidia mawasiliano yake tafadhaliOfisi iko Moshi mile sita ,kwa dar kuna afisa kilimo yuko based Bagamoyo
Tembelea hapa www.sevia.bizok, bagamoyo si mbali hapo,,nampataje ss,,km unaweza kunisaidia mawasiliano yake tafadhali
Nilikuja kugundua kuwa niliweka mbolea mbichi ya ng'ombe...ndio ilinyausha miche mitatu kwa mpigo asante....kwa ushirikiano wako..Hii mbona sioni tatizo lolote mkuu
Urea imenipa fundisho...nimepoteza zaidi ya miche 10Hii mbona sioni tatizo lolote mkuu