Msaada kuhusu mbegu za nyanya


Msaada wa jamii forums hii ndio bustani yangu ya nyanya
 
huyo nae sijui ana tatizo gani
Duh nyanya mpaka imefika hapo hujapiga dawa ya ukungu duh ,nunua othelo piga ziko mpaka za bomba moja tu .
Unatakiwa upige dawa za ukungu kila baada ya siku 7 kwa kipindi cha kiangazi na kila.baada ya siku 5 kipindi cha mvua , kuna manual nimetuma hapo juu itumie plss
 
Kuna dawa hapo juu sijui...unazifahamu...je si nzuri...
 
Zinafaa sema za wadudu ,unatakiwa za magonjwa ya fungus ndugu ndio huathiri zaidi nyanya
Ok...ngoja niitafute hiyo uliyoiandika hapo juu...sasa mkuu vitumba vinakaushwa na nini...na je vitaendelea kutoka vingine vingi...¿
 
Huku kwetu ukitaka mbegu nzuri ni kuagiza kenya angalau wako na uhakika ,soko la mbegu kiujumla limevamiwa sijui labda huko uliko mkuu
mkuu last wiki nilinunua sukuma wiki yaani 90% ya mbegu zote hazijaota, sijui hizi taasisi za serikali zinafanya kazi gani
 
Mkuu hili tatizo ni ugonjwa kama ulivosema ni kata kiuno lugha ya wakulima wengi,kitalamu ni dumping off,hili hutibika kabisa tumia dawa inayoitwa milraz ,toka bayer crop science wazee wa belt kwa kanitangaze(tuta absoluta) kama mkulima umenielewa,
Nzuri sana kwakweli...

Mkuu na mimi nitahitaji sana msaada wako siku za usoni

Nzuri sana

Sasa mkuu ivi kama mtu ukigharamia ... Mbegu kila muda itakubidi uwe unanunua mbegu?

poa mkuu....je bora mbegu...ama ninunue...tuuu miche...? maana nimefanya mawasiriano na wauzaji wa mbegu wameniambia kuwa ata miche wanauza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…