X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nyanya mpaka imefika hapo hujapiga dawa ya ukungu duh ,nunua othelo piga ziko mpaka za bomba moja tu .huyo nae sijui ana tatizo gani![]()
Kalima nyingi hizo nibadhi zimemshinda kwahiyo atumie dawa gani kuweza kumsaidiaHii nyanya imepigwa na bright (ukungu) ,kwann hujafungia !?
Kuna dawa hapo juu sijui...unazifahamu...je si nzuri...Duh nyanya mpaka imefika hapo hujapiga dawa ya ukungu duh ,nunua othelo piga ziko mpaka za bomba moja tu .
Unatakiwa upige dawa za ukungu kila baada ya siku 7 kwa kipindi cha kiangazi na kila.baada ya siku 5 kipindi cha mvua , kuna manual nimetuma hapo juu itumie plss
Zote hizo za wadudu ndugu tena broad spectrumKuna dawa hapo juu sijui...unazifahamu...je si nzuri...![]()
![]()
Mkuu hizo hazifai¿Zote hizo za wadudu ndugu tena broad spectrum
Zinafaa sema za wadudu ,unatakiwa za magonjwa ya fungus ndugu ndio huathiri zaidi nyanyaMkuu hizo hazifai¿
Tomato | Infonet Biovision Home.Mkuu hizo hazifai¿
Ok...ngoja niitafute hiyo uliyoiandika hapo juu...sasa mkuu vitumba vinakaushwa na nini...na je vitaendelea kutoka vingine vingi...¿Zinafaa sema za wadudu ,unatakiwa za magonjwa ya fungus ndugu ndio huathiri zaidi nyanya
Nilikuomba utume picha nivione ,pia jaribu kusoma hiyo manual ya wakenya unaweza liona tatizo lako ikawa rahisi kupata dawaOk...ngoja niitafute hiyo uliyoiandika hapo juu...sasa mkuu vitumba vinakaushwa na nini...na je vitaendelea kutoka vingine vingi...¿
Nilikuomba utume picha nivione ,pia jaribu kusoma hiyo manual ya wakenya unaweza liona tatizo lako ikawa rahisi kupata dawa
Sion vyema ila umewahi kuweka can au kupiga booster yenye calciumsijui kama utaona vizuri ila ni kama vina rangi ya njano kwenye kikonyo chake![]()
Duh kiswahili ndg hutaelewa kabisaa maana madawa hayana kiswahili ,iko nitaitafuta niitume hapaMkuu huo muongozo wanyanya hamna ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili mana dah shida
Hahaha powa mkuuDuh kiswahili ndg hutaelewa kabisaa maana madawa hayana kiswahili ,iko nitaitafuta niitume hapa
mkuu last wiki nilinunua sukuma wiki yaani 90% ya mbegu zote hazijaota, sijui hizi taasisi za serikali zinafanya kazi ganiHuku kwetu ukitaka mbegu nzuri ni kuagiza kenya angalau wako na uhakika ,soko la mbegu kiujumla limevamiwa sijui labda huko uliko mkuu
Mkuu hili tatizo ni ugonjwa kama ulivosema ni kata kiuno lugha ya wakulima wengi,kitalamu ni dumping off,hili hutibika kabisa tumia dawa inayoitwa milraz ,toka bayer crop science wazee wa belt kwa kanitangaze(tuta absoluta) kama mkulima umenielewa,Jomba kama unaweza kwenda sokoni nenda kachague nyanya mshumaa zilizoiva vizuri kisha toa mbegu zikaushe na usie mwenyewe nilikua nanunua mbegu lkn aina ya mbegu ni tofauti na iliyoandikwa kwa packet na zakununua madukani nyingi zinaota kabla hujaamisha znakauka kiuno...tengeneza mbegu peke yako znaota vizuri tuu ukipata nyanya nzuri
Nzuri sana kwakweli...
Mkuu na mimi nitahitaji sana msaada wako siku za usoni
Nzuri sana
Sasa mkuu ivi kama mtu ukigharamia ... Mbegu kila muda itakubidi uwe unanunua mbegu?
poa mkuu....je bora mbegu...ama ninunue...tuuu miche...? maana nimefanya mawasiriano na wauzaji wa mbegu wameniambia kuwa ata miche wanauza....
Iko juu hapoHahaha powa mkuu