Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Msaada kuhusu mbegu za nyanya

8df1363da75eadb8eb00bad8945911cb.jpg
huyo nae sijui ana tatizo gani
 
8df1363da75eadb8eb00bad8945911cb.jpg
huyo nae sijui ana tatizo gani
Duh nyanya mpaka imefika hapo hujapiga dawa ya ukungu duh ,nunua othelo piga ziko mpaka za bomba moja tu .
Unatakiwa upige dawa za ukungu kila baada ya siku 7 kwa kipindi cha kiangazi na kila.baada ya siku 5 kipindi cha mvua , kuna manual nimetuma hapo juu itumie plss
 
Duh nyanya mpaka imefika hapo hujapiga dawa ya ukungu duh ,nunua othelo piga ziko mpaka za bomba moja tu .
Unatakiwa upige dawa za ukungu kila baada ya siku 7 kwa kipindi cha kiangazi na kila.baada ya siku 5 kipindi cha mvua , kuna manual nimetuma hapo juu itumie plss
Kuna dawa hapo juu sijui...unazifahamu...je si nzuri...
ef2e8d38adffb8dbbf48dad5339dcf0c.jpg
869a1ef12c932ec8fbcbace84305d9a7.jpg
 
Huku kwetu ukitaka mbegu nzuri ni kuagiza kenya angalau wako na uhakika ,soko la mbegu kiujumla limevamiwa sijui labda huko uliko mkuu
mkuu last wiki nilinunua sukuma wiki yaani 90% ya mbegu zote hazijaota, sijui hizi taasisi za serikali zinafanya kazi gani
 
Jomba kama unaweza kwenda sokoni nenda kachague nyanya mshumaa zilizoiva vizuri kisha toa mbegu zikaushe na usie mwenyewe nilikua nanunua mbegu lkn aina ya mbegu ni tofauti na iliyoandikwa kwa packet na zakununua madukani nyingi zinaota kabla hujaamisha znakauka kiuno...tengeneza mbegu peke yako znaota vizuri tuu ukipata nyanya nzuri
Mkuu hili tatizo ni ugonjwa kama ulivosema ni kata kiuno lugha ya wakulima wengi,kitalamu ni dumping off,hili hutibika kabisa tumia dawa inayoitwa milraz ,toka bayer crop science wazee wa belt kwa kanitangaze(tuta absoluta) kama mkulima umenielewa,
Nzuri sana kwakweli...

Mkuu na mimi nitahitaji sana msaada wako siku za usoni

Nzuri sana

Sasa mkuu ivi kama mtu ukigharamia ... Mbegu kila muda itakubidi uwe unanunua mbegu?

poa mkuu....je bora mbegu...ama ninunue...tuuu miche...? maana nimefanya mawasiriano na wauzaji wa mbegu wameniambia kuwa ata miche wanauza....
 
Back
Top Bottom