the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndugu bado mpya sana kwenye kilimo ,achana na booster hiyo ni sawa na glucose kwa mwanadamu ,je unaweza ishi kwa kutegemea glucose !!????Booster gani itafaa ndugu
Vipi shina lina harufu kama ya yai viza !? Vipi mizizi imevimba vimba mwanundu manundu !?hapo nimekuta mmea umeishiwa nguvu kabisa....kuushika shina nimelikuta limeoza...dah....
Tafuta mbolea ya Can au NPK au weka mbole za wanyama ng'ombe au ya kuku ila hakikiha iwe mbolea kavu ukiweka mbolea mbichi....itakufanyia kitu kibaya hutokisahaumkuu naomba mnisaidie mbegu yangu hii inakuwa kama yanjano sijawahi kuipa mbolea zaidi ya sumu tu je nifanyeje iwe kijani pia yenye afya naikue haraka
Harifu inakaribia...ila sio kari sana...then inatoa maji....ni miche miche ila nakuja kushituka ukisha nyauka....nadhani inashambulia haraka sana...sijui ni nini hikoVipi shina lina harufu kama ya yai viza !? Vipi mizizi imevimba vimba mwanundu manundu !?
Asante mkuuTafuta mbolea ya Can au NPK au weka mbole za wanyama ng'ombe au ya kuku ila hakikiha iwe mbolea kavu ukiweka mbolea mbichi....itakufanyia kitu kibaya hutokisahau
usihofu ndugu yangu...nitakusumbua hadi unichoke....si unajua kwenye kilimo mimi bado mgeni kabisa...
Asante mkuu..hawa wauzaji wa mbegu ya eden ni kampuni gani...naiona imetajwa sana na wengiWanatafiti na kuuza hawana uhakika na mbegu zao(RIjwan),swali la mleta mada limejibiwa na wana nadharia,au wauza mbegu.
Uhalisia ni huu,kama mbegu zilizo shambani ni hybrid majibu yaliyotolewa ni sahihi lakini kama mbegu ulizo nazo ni OPV majibu uliyopewa si ya kweli unaweza kurudia mbegu na zikakupa tija kwa zaidi ya 90%.
Kwa OPV mbegu nzuri zaidi ni mwanga,tengeru(japo wanunuzi wanasumbua kipindi cha uzalishaji mkubwa),Kiboko na Meru.
Mbegu bora zaidi kwa uzalishaji ni hybrid,wengi huzikimbia kwa ukubwa wa gharama zake.Hybrid za nyanya zipo aina nyingi na zinazalishwa na kampuni tofauti.
Kwa uzoefu wangu mbegu bora zaidi kwa sasa (TZ) za hybrid ni Monica,Ashanti na Eden. Zinafuatiwa kwa karibu na kipato,milele na nuru.Kigezo changu cha ubora ni ukubwa na kuvutia walaji kwa tunda husika na ustahimilivu sokoni.
Kwa tija zaidi wasiliana na wakulima usihangaike na wataalam wa nadharia Ofisini au wauzaji wa mbegu,watakupoteza,
mkuu nipo dar-es-salaam huku ni joto sana....sijui hapo itakuwaje...
Kwanza zote ni hybridWadau wenzangu nipeni wasifu izi mbegu za nyanya eden-f1.assila-f1.shanty-f1
Mkuu nna swali hapa!Miche inakupa uhakika wa kua nao ya kutosha eneo lote ila mbegu ni fifty fifty kama kuna michache isipoota au ikifa kwa magonjwa ya kwenye kitalu ,inapaswa uwe makini kwenye kutunza miche lakini hakikisha unanunua kwenye source makini
Piga dawa za ukungu na wadudu....vile vile usisahau mbolea...
Msaada Wadau bamia zangu zimepatwa nanini kutoka namuonekano huo niasaidieni kutatua hali hiyo nifanyeje
ShukraniPiga dawa za ukungu na wadudu....vile vile usisahau mbolea...
Zipo....mbegu nyingi kama Eden f1 na nyinginezo...unaweza kuonana na wataalam wa mbegu...BALTON... kama upo dar...Ni mbegu ipi inayorefuka hadi mita nane ili iwe chaguo langu, halafu kilimo chagreen house lazima umwagiliaji uwe wa droplets? Maaada jamani
Zina wiki ngapi? Ushawahi ziwekea mbolea? Dawa ya wadudu ulipiga lini??View attachment 519106
Naweza kuanza kupandikiza hizi nyanya